Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Wanaogopa mafuriko lowasa siku akipanda jukwaani wanajuwa hilo lipo wazi kabisa wanajuwa jeshi la lowassa nikubwa mara tano ya ya nyerere maana maana alipo tupo kama mvua
 
Wanaogopa mafuriko lowasa siku akipanda jukwaani wanajuwa hilo lipo wazi kabisa wanajuwa jeshi la lowassa nikubwa mara tano ya ya nyerere maana maana alipo tupo kama mvua
Uwiiiiiii ulipotelea wapi?
Hadi habari za Lowassa ndio uje?
 
Picha hii ndio inonyesha hali halisi ya majitu yaliokuwa brainwashed, wakati akina Mbowe wanapiga hela za ruzuku kwa kisingizio cha mikutano, na pesa nyingine za mauzo zinakwenda nje ya nchi, kuna majitu yanavishwa mamiwani ya kuchomea vyuma halafu yanakomaa kama nyundo bila hata senti! Wakihoji wanaambiwa chama chetu bado kichanga tunajenga chama kwanza, hutaki ondoka! Labda huwa wanafaidika na uporaji kwenye maandamano.
Hahahaha uwiiiii mkuuu umenivunja mbavu
 
hata km angekuwa lipumba au magufuli lazima watu wangemlaki tu! hii ni kutafuta kiki tu , kukatazwa kufanya mikutano ndo kuanza kutafuta kiki nyingine, atuache bhana watu wafanye kazi. kujipitisha kwa watu tutaona mengi, mara kupanda daladala mara nn, kwann alazimishe kuwa anapendwa? mwananchi sikiliza changanya na vya kwako umri unaenda watotot wako watakuuliza kwann wengine wanya nyumba nzuri ww huna! chukua hatua.

Kimekuuma..na mbado. Anapendwa basi kajinyonge wew mana umekaliwa na wivu. Huyo ndo rais wa miyoyo ya watz wew. Ona wanavyomheshimu wew hapo dom wamewasambaratisha kwa mabomu ila hapo dsm wameufyata. Chezea wazir mkuu mstafu wew.
 
Ni siku ya pekee iliyokuwa inasubiriwa na watanzania walio wengi ambapo Mh Edward Lowasa ataongea na watanzania kwenye sherehe maalumu kutoa vyeti kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali ambao ni wanachama wa CHADEMA mnakaribishwa ukumbi wa Karimjee asante sana kamanda Molemo kwa kutuwekea update live
Lwassa tusaidie tutoke kwenye hili dimbwi la kukosa hela mifukoni, jamani
 
Huyo huyo mfugaji ndiye aliyeiua CCM maeneo mengi, na ndiye aliyeshinda kura za wananchi, tume wakafanya yao.

Nchi hii ilitakiwa kuongozwa na viongozi wenye maono, siyo kiongozi aliyepatikana kwa ajali ya siasa
kweli nakuunga mkono, huku nje yeye mkuu wa nchi hayajui kumbe watu sasa hawamtaki
 
Kill them , edward Lowassa ...polisiem hawachelewi kusingizia intel ...wakati amboni hata hawakugundua.

Kazi yao n kugundua intel kwa watu hata wasiojua kurusha ngumi.
wanawaogopa chadema siyo Amboni, badala ya kupambana na ugaidi wanapambana na chadema
 
Asante sana mkuu Molemo kwa updates zote.... Well Done!!!
 
Viva chadema. Chadema ni kama chama cha solidarity cha poland. Watu wakitaka mabadiliko dola haiwezi kuzuia.
 
Uwiiiiiii ulipotelea wapi?
Hadi habari za Lowassa ndio uje?
Nilikuwa kwenye sayari ya mbali ndugu ila nimerejea salama siunajuwa tena alipo tupo
Usijali mapambano ndio kwanza yameanza siunajuwa jeshi la nguvu ya umma siyo la buku7 la nguvu ya umma lina speed za kutosha kama jumbo jet!
hawatuwezi na mwisho wa yote watashindwa maana tuna nguvu za kizalendo hatutachoka kuwa kemea maana hawa ni swa na maruhani au pepo wachafu
 
Kimekuuma..na mbado. Anapendwa basi kajinyonge wew mana umekaliwa na wivu. Huyo ndo rais wa miyoyo ya watz wew. Ona wanavyomheshimu wew hapo dom wamewasambaratisha kwa mabomu ila hapo dsm wameufyata. Chezea wazir mkuu mstafu wew.
....

......hatareee
 
"Tusipoitoa CCM madarakani mwaka huu,hatutaweza kuitoa tena milele"lowassa 2015
 
Huu msemo unanikumbusha mbali sana mkuu
Hawaupendi kweli kweli maana unamanisha kweli ya dhati kabisa kutoka ndani ya nafsi zetu !
Wanalijuwa hilo kwa 100% ndio maana hawataki apande jukwani kabisa na siku akipanda jukwani wataugua maana atanikiwa kaburi lazima mwili wangu utasisimka !
 
Mzee muda mwingine sijui vipi. Aliongopea umma kuwa atashinda uchaguzi.
Ngozi yako imeanza kuonekana tumekujuwa kuwa wewe ni nani na rangi yako ni ipi huwezi badili nguo kila siku kuficha harufu yako ipo siku utajisahau na leo umejisahau tumehisi harufu yako mbaya !! Tutakaa na wewe mbali usawa wa mbingu na aridhi!!
 
Safi kazi nzuri tupo pamoja.....
Ama kweli wajinga ndio waliwao, Nabii Joshua aliletwa na serikali kumshawishi EL akubali matokeo? Wakati yeye EL alikuwa anashinda kanisani kwa Joshua akiombewa ashinde na kumuachia mamilioni ya dola!!!Na kumualika aje kushuhudia akiapishwa!!! Vijana wenye elimu ya chuo kikuu wanadanganywa hivi hivi na wao wanakubali La haula!!!
 
Back
Top Bottom