Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Na mlioko Dodoma tupeni update kama dar big up sana ukawa
 
Huyo huyo mfugaji ndiye aliyeiua CCM maeneo mengi, na ndiye aliyeshinda kura za wananchi, tume wakafanya yao.

Nchi hii ilitakiwa kuongozwa na viongozi wenye maono, siyo kiongozi aliyepatikana kwa ajali ya siasa
Mbona wanalijua hilo bro,pale Jangwani wakati wa kuhiyimisha kampeni Lowassa alizungumza vitu vizito kuhusiana na taasisi ya Urais.
"Urais ni kujiandaa na si kama kukurupushwa tu ili uje kuwa Rais...."
Sasa mambo ya kuokota dodo chini ya mbuyu ndiyo haya kila kukicha watu hawana raha....maana miongozo inatoka Nyumba nyeupe yote......mihimili mingine ya dola imekatwa ndimi zao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hatuwahitaji wakaanani ,wasidoni na Wafilisti , chadema kama chama chenye kujipambanua ktk kuwaletea uchumi bora,kinachojali Elimu bora kisichomsujudia baali( Mungu Mke) Vijana tukipiganie

Hawa ni tunu kwa chama ,chama kitawatunza ili mulifae Taifa, CCM imekuwa chama cha kuwaandaa vijana kuwa kokoro la kuimba,kushangilia na kukimbia huku na kule lakini wakiishia buku7
 
Wale wazee wa intelijensia wamebugi, afadhali wangezuia mahafari ya Dar maana mzee kalipuka. Tutajadili wiki nzima
 
Mkuu kumbe kuna kitu kinapatikana hapo ukiachilia maono bali ni meseji kuwa watu wana hasira na chama fulani

Ni wengi sana ambao hatutaki hata kulisikia neno CCM masikioni mwetu....lakini hatuamini kama Lowasa ni mwana mabadiliko haswa anayeweza kututoa katika vifungo vya dhiki tulivyofungwa na CCM....kwa sababu hata yeye mwenyewe alikuwa ni mmoja kati yao na kaondoka si kwa mapenzi yake kwa sisi wanyonge bali kwa kukosa kile alichokikosa huko CCM na ndicho hicho anachokitafuta huku CHADEMA na sio kwa maslahi ya kwa taifa bali kwa maslahi ya marafiki zake wachache wanaomchangia katika kuyafanikisha hayo.........na hata hao wanaomshabikia huyo bwana hawana uhakika na uzalendo wake kwa chama wala kwa taifa ndio maana wengi wao ukiwauliza maswali magumu wanakuambia kuwa kwanza tumuondoe mdudu CCM alafu mambo mengine yatajulikana mbele mbele....sasa hayo ya mbele kwa mbele ni yapi utagundua kuwa ni kauli inayotoka kwenye kinywa cha mtu aliyekata tamaa ya maisha na yupo tayari kwa lolote......na ndugu Lowasa ameshalifahamu hilo na anautumia udhaifu huo ipasavyo.......

THINK BIG....,,
 
Na bado mwisho mtaanza kumualika kwenye birthday party za watoto wa daycare

Bora huyu anayealikwa kila sherehe hata ya daycare lkn anakonga nyoyo za watu.

Kuna yule (siyo yule wa Gwajima) hajui aseme nn kwa watu gani ili iwe nini? Yaani hopeless kabisa.
 
Ni wengi sana ambao hatutaki hata kulisikia neno CCM masikioni mwetu....lakini hatuamini kama Lowasa ni mwana mabadiliko haswa anayeweza kututoa katika vifungo vya dhiki tulivyofungwa na CCM....kwa sababu hata yeye mwenyewe alikuwa ni mmoja kati yao na kaondoka si kwa mapenzi yake kwa sisi wanyonge bali kwa kukosa kile alichokikosa huko CCM na ndicho hicho anachokitafuta huku CHADEMA na sio kwa maslahi ya kwa taifa bali kwa maslahi ya marafiki zake wachache wanaomchangia katika kuyafanikisha hayo.........na hata hao wanaomshabikia huyo bwana hawana uhakika na uzalendo wake kwa chama wala kwa taifa ndio maana wengi wao ukiwauliza maswali magumu wanakuambia kuwa kwanza tumuondoe mdudu CCM alafu mambo mengine yatajulikana mbele mbele....sasa hayo ya mbele kwa mbele ni yapi utagundua kuwa ni kauli inayotoka kwenye kinywa cha mtu aliyekata tamaa ya maisha na yupo tayari kwa lolote......na ndugu Lowasa ameshalifahamu hilo na anautumia udhaifu huo ipasavyo.......

THINK BIG....,,

Mkuu rejea maneno ya Gwajima aliyo yanukuu toka kwa kamanda Mbowe "ndani ya ccm hata akishuka malaika anageuka kuwa ibilisi". Ndiyo maana wengi wa hao watu wanakuambia ing'oke ccm kwanza mengine watayajua mbele kwa mbele. Kwasabb adui mkuu wa nchi hii ni ccm.
 
Haaaaaaa,kumbe TB Joshua alilazimishwa kuhudhuria kuapishwa mtu ambaye sio mshindi wa urais akaamua abadilishe hadi hotel na kisha kuondoka zake kabla ya kuapishwa na jeshi,kumbe haya majanga ni kwa sababu baba ni wa mambo na sio baba mzazi duuuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na bado mwisho mtaanza kumualika kwenye birthday party za watoto wa daycare
Aliyepiga picha na Beyonce na mastaa kibao mbona Maisha bora kwa kila mtanzania,yameishia hapa kazi tu?
Au unajitutumua ili uwe DC kama Mzalendo Wa chama chenu chakavu POLEPOLE?
Hahahahaha, ndiyo maana Seif kapiga picha kwenye viti tupu mnasema eti ulimwengu mzima ulikuwa unamsikiliza. Acheni kumdhalilisha Mzee nyeupe.
 
Picha hii ndio inonyesha hali halisi ya majitu yaliokuwa brainwashed, wakati akina Mbowe wanapiga hela za ruzuku kwa kisingizio cha mikutano, na pesa nyingine za mauzo zinakwenda nje ya nchi, kuna majitu yanavishwa mamiwani ya kuchomea vyuma halafu yanakomaa kama nyundo bila hata senti! Wakihoji wanaambiwa chama chetu bado kichanga tunajenga chama kwanza, hutaki ondoka! Labda huwa wanafaidika na uporaji kwenye maandamano.
Ulitaka waje washangilie ccm?
Hebu tuambie kiliifanya ccm kutopaka rangi ofisi zenu na kutowalipa viongozi Wa chama Wa kata na mashina wakati MNA ruzuku 89% ,na nyumba za kupangisha ni nini,kama sio upigaji,( chukua chako mapema?)
 
Ni wengi sana ambao hatutaki hata kulisikia neno CCM masikioni mwetu....lakini hatuamini kama Lowasa ni mwana mabadiliko haswa anayeweza kututoa katika vifungo vya dhiki tulivyofungwa na CCM....kwa sababu hata yeye mwenyewe alikuwa ni mmoja kati yao na kaondoka si kwa mapenzi yake kwa sisi wanyonge bali kwa kukosa kile alichokikosa huko CCM na ndicho hicho anachokitafuta huku CHADEMA na sio kwa maslahi ya kwa taifa bali kwa maslahi ya marafiki zake wachache wanaomchangia katika kuyafanikisha hayo.........na hata hao wanaomshabikia huyo bwana hawana uhakika na uzalendo wake kwa chama wala kwa taifa ndio maana wengi wao ukiwauliza maswali magumu wanakuambia kuwa kwanza tumuondoe mdudu CCM alafu mambo mengine yatajulikana mbele mbele....sasa hayo ya mbele kwa mbele ni yapi utagundua kuwa ni kauli inayotoka kwenye kinywa cha mtu aliyekata tamaa ya maisha na yupo tayari kwa lolote......na ndugu Lowasa ameshalifahamu hilo na anautumia udhaifu huo ipasavyo.......

THINK BIG....,,
Ni wewe tu uelewa wako..Alishauvua utu wa zamani na akauvaa utu upya.
Alishaondoka huko kwa wasidoni na wafilisti.kawaachia nyimba yao waendelee na mambo yao maovu.
 
hana jipya,zaidi ya upupu tu,kwa nini asiitishe maandamano kupinga yote hayo?na yeye ndo awe mstari wa mbele
 
Mzee muda mwingine sijui vipi. Aliongopea umma kuwa atashinda uchaguzi.
 
Back
Top Bottom