Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Asante kwa taarifa mkuu Molemo, macho na masikio Karimjee kupitia Jf. Tunategemea mawe kutoka pande hizo!

Dunia ipo Karimjee leo
Hahahahaha, ndiyo maana Seif kapiga picha kwenye viti tupu mnasema eti ulimwengu mzima ulikuwa unamsikiliza. Acheni kumdhalilisha Mzee nyeupe.
 
Kumbuka CCM ina Chipukizi...hoja yangu ni kuishiwa kisiasa kwa EL jambo ambalo hata wewe unalikubali moyoni ila unaona aibu kulitamka...
Akili zako nisawa na jina lako kama kafa kisiasa mlize mw/kiti wa ccm alivyo kuwa anawaasa wana CCM kuusu lowassa au polis CCM wange ruhusu mkutano wa kahama ndio utajua moto wa lowassa.
 
Matokeo ya mwisho ya vyuo vyote vikuu bado.Hao wanafanya mahafali ya kitu gani maskini.Wengine humo wata disco,wengine watarudia mwaka.Wanafanya mahafali hewa!!!!!! Na LOWASA atawakabidhi vyeti hewa vinavyoonyesha wamemaliza wakati bado hawajamaliza vyuo.

Halafu umenichekesha ulipoandika kuwa RED brigade WAPO KUIMARISHA ULINZI.Umenikumbusha hao walinzi na miwani yao ya kuchomea magrill ya chuma

Mbeya3.jpg
Picha hii ndio inonyesha hali halisi ya majitu yaliokuwa brainwashed, wakati akina Mbowe wanapiga hela za ruzuku kwa kisingizio cha mikutano, na pesa nyingine za mauzo zinakwenda nje ya nchi, kuna majitu yanavishwa mamiwani ya kuchomea vyuma halafu yanakomaa kama nyundo bila hata senti! Wakihoji wanaambiwa chama chetu bado kichanga tunajenga chama kwanza, hutaki ondoka! Labda huwa wanafaidika na uporaji kwenye maandamano.
 
nilichogunduwa unawashwa,Ila Dawa yake,ni kucha
Kwani unadhani ile nyumba ya ufipa st mnayoita makao makuu ni ya nani? Eti ninawashwa! Nadhani we unawashwa sana sema unaona aibu kujikuna.
 
Ulipo Tupo,mpera mpera mpaka 2020!
Dalili za kuelemewa na matumizi ya mihadarati na ulevi wa viroba wa kupindukia. Soon na wewe utaanza kuweweseka ovyo. Sasa kama alipo upo mbona huendi kuchunga naye ng'ombe?
 
Huyo huyo mfugaji ndiye aliyeiua CCM maeneo mengi, na ndiye aliyeshinda kura za wananchi, tume wakafanya yao.

Nchi hii ilitakiwa kuongozwa na viongozi wenye maono, siyo kiongozi aliyepatikana kwa ajali ya siasa
Hahahahaaah! Ajali ya siasa? Mkuu Mungi umenichekesha sana.Hiyo ajali ilijeruhi wengi sana na wengine wanaugulia makovu.
 
Kwani unadhani ile nyumba ya ufipa st mnayoita makao makuu ni ya nani? Eti ninawashwa! Nadhani we unawashwa sana sema unaona aibu kujikuna.
Akili ndogo inavyo taka kutawala akili Kubwa hapa macho yetu nikumtazama na kumsikiliza Mh waziri mkuu mstaafu sasa mboyoyo unazoleta hapa hazina nafas
 
Umeme hautakatwa kweli? Au tv hazitafanyiwa figisu kweli kama kutakuwa na live show?
I mean live uptodates
 
Dalili za kuelemewa na matumizi ya mihadarati na ulevi wa viroba wa kupindukia. Soon na wewe utaanza kuweweseka ovyo. Sasa kama alipo upo mbona huendi kuchunga naye ng'ombe?
Ni mahaba hayo mkuu acha kulia! Ukiona unaugulia sana nenda kajinyonge.
 
Akili ndogo inavyo taka kutawala akili Kubwa hapa macho yetu nikumtazama na kumsikiliza Mh waziri mkuu mstaafu sasa mboyoyo unazoleta hapa hazina nafas
Mstaafu[emoji808]
Aliyelazimishwa kujiuzuru kwa kashfa ya wizi[emoji818]
 
Nani wengine wataongea ili ikibaki dakika 5 mzee ndio amalizie msimchoshe
 
Kumbuka CCM ina Chipukizi...hoja yangu ni kuishiwa kisiasa kwa EL jambo ambalo hata wewe unalikubali moyoni ila unaona aibu kulitamka...

Lowassa ndiye mwanasiasa wa karne, na ndiye aliyeshinda urais mbingu inajua dunia inajua, kama siyo tume leo wanzania wangelikuwa wanafaidi matunda ya nchi yao, sukari isingekuwa ishu, ajira zingekuwa za kumwaga. Lowassa ni mtu aliyechoka na umasikini. Washukuruni tume
 
Kwa kuwa matokeo ya vyuo vikuu ya mitihani ya mwisho bado hayajatoka na vyuo vikuu havijafanya mahafali yoyote ya wanachuo kumaliza vyuo kichwa cha habari kilitakiwa kisomeke hivi

"YANAYOJIRI KARIMJEE KWENYE MAHAFALI HEWA YANAYOHUSU LOWASA KUKABIDHI VYETI HEWA VYA KUMALIZA VYUO KWA WANACHUO AMBAO BADO HAWAJAHITIMU VYUO VIKUU"
 
Back
Top Bottom