Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

MC atakapokuwa anamkaribisha Lowasa KUKABIDHI VYETI aseme

"SASA TUNAKUKARIBISHA MHESHIMIWA LOWASA UKABIDHI VYETI HEWA VYA KUMALIZA VYUO KWA WANAVYUO WAFUATAO AMBAO BADO HAWAJAMALIZA VYUO VYAO NA MATOKEO YA MITIHANI YAO BADO" karibu sana mheshimiwa ukabidhi vyeti hewa.
 
WanaJF

Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi.Jiji la Dar es Salaam lina pilikapilika kama kawaida huku kukiwa na hali nzuri kabisa ya hewa huku jua likiwa linawaka katika kona zote za jiji.

Katika ukumbi huu wa Karimjee tayari kumepambwa kwa mapambo ya rangi nyekundu,bluu,nyeusi na nyekundu kuashiria tukio kuu la Chama cha Chadema.

Ni katika ukumbi huu yatafanyika mahafali ya vijana wanavyuo wa Chadema wanaohitimu katika vyuo kadhaa DSM

Mgeni rasmi katika tukio hili ni Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.Tayari ukumbi umefurika idadi kubwa ya waandishi wa habari huku kukiwa na ulinzi imara wa Red Brigades.

Tuko hapa ukumbini kuwaletea kila kitakachojiri...Karibuni sana..
Mkuu tupo pamoja sana ktk kutaka kujua nini rais wa mioyo ya watanzania atatwambia
 
Mstaafu[emoji808]
Aliyelazimishwa kujiuzuru kwa kashfa ya wizi[emoji818]
Sasa mbona serikali yenu inamlipa haki zake za kustaahafu kwa taarifa yako ww usie jua yy sio wakwanza kujiuzulu wapo wengi na walikuja kushinda urais kama una data urusiwi kuonge au mahaba na chama chako cha mafis ndio yana kuongoza
 
Ni siku ya pekee iliyokuwa inasubiriwa na watanzania walio wengi ambapo Mh Edward Lowasa ataongea na watanzania kwenye sherehe maalumu kutoa vyeti kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali ambao ni wanachama wa CHADEMA mnakaribishwa ukumbi wa Karimjee asante sana kamanda Molemo kwa kutuwekea update live
Siyo tu wana cdm pekee ndiyo wanahamu ya kumsikia huyo rais wa mioyo ya watanzania tu bali hata upande wa pili nao masikio yao yapo huko maana daima huyo mh huwa neno lake moja tu ni tulizo kwa watanzania
 
Kweli habari zimeisha hii nayo Ni habari , kitu ambacho chadema hamuelewi mnapita mulemule CCM wanapopita alafu mnahubiri mabadiliko?
 
huwezi ukajuwa kwasabu unawaza tu buku Saba zako
Mkuu buku saba siku hizi hakuna zimerudi chini sasa ni buku 2 na wanaambiwa ukitaka chukua hutaki wacha maana kazi yao iliisha tangu baada ya uchaguzi
 
Lowassa ndiye mwanasiasa wa karne, na ndiye aliyeshinda urais mbingu inajua dunia inajua, kama siyo tume leo wanzania wangelikuwa wanafaidi matunda ya nchi yao, sukari isingekuwa ishu, ajira zingekuwa za kumwaga. Lowassa ni mtu aliyechoka na umasikini. Washukuruni tume
Mkuu acha ushabiki na mahaba ni kwa vision na strategy zipi ambazo lowasa alipata kutuueleza zaid ya kusema mwenye ng'ombe moja awe na wanne mwenye boda boda moja awe na mbili
 
WanaJF

Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi.Jiji la Dar es Salaam lina pilikapilika kama kawaida huku kukiwa na hali nzuri kabisa ya hewa huku jua likiwa linawaka katika kona zote za jiji.

Katika ukumbi huu wa Karimjee tayari kumepambwa kwa mapambo ya rangi nyekundu,bluu,nyeusi na nyekundu kuashiria tukio kuu la Chama cha Chadema.

Ni katika ukumbi huu yatafanyika mahafali ya vijana wanavyuo wa Chadema wanaohitimu katika vyuo kadhaa DSM

Mgeni rasmi katika tukio hili ni Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.Tayari ukumbi umefurika idadi kubwa ya waandishi wa habari huku kukiwa na ulinzi imara wa Red Brigades.

Tuko hapa ukumbini kuwaletea kila kitakachojiri...Karibuni sana..
Updates hata tupicha hakuna
 
Back
Top Bottom