Nimefatilia sakata la Udom kuhusu mahafari za CHASO,pia nikafatilia ya dar alikokua anagawa vyeti EL ,swali la kwanza nikajiuliza hivi hivyo vyeti wanavyopewa hao CHASO ni vyeti vya degree,diploma au masters ya chadema ambayo walikua wanafundishwa humo vyuoni au siku hizi kuna coz ya chadema katika vyuo vyetu..majibu nimekosa labda wenye akili nisaidieni