Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Sasa mbona huko Idodomiya polisi wamewatawanya ? Nayo si mahafali pia. Naona kuna kamchezo.
 
Kumbe TB Joshua aliletwa maalumu ili amshawishi Lowassa akubali matokeo ya uchaguzi!
 
Yan utafikiri Ni Yesu kaonekana, huyu ndo yule Mwanaume aliebarikiwa
Maandiko yanasema aliyebarikiwa n mmoja tu yaan YESU sasa km umeanza kuhusujudu huyu mzee km Yesu aseee n hatar kubwa
 
Dodoma wametawanywa ma kukamatwa vijana waliokuwa wanakwenda ukumbini mgeni rasmi alikuwa awe Sumaye!
 
Haya mambo yalikuwa na maana enzi za chama kushika hatamu na si zama hizi. CCM wameshindwa kubadilika baada ya kuanza vyama vingi na kuendeleza siasa vyuoni hadi sehemu zingine zisizofaa. Upinzani wamejikuta wakifata mkumbo huu ambao hauna afya. Tufike mahali tuchore vyema mstari wa wapi uvyama vyama ukome.
Shetani kamwe hawezi kubadilika kuwa malaika atabakia kuwa SHETANI kwani ndio LAANA YA MUNGU KWAKE!
 
hata km angekuwa lipumba au magufuli lazima watu wangemlaki tu! hii ni kutafuta kiki tu , kukatazwa kufanya mikutano ndo kuanza kutafuta kiki nyingine, atuache bhana watu wafanye kazi. kujipitisha kwa watu tutaona mengi, mara kupanda daladala mara nn, kwann alazimishe kuwa anapendwa? mwananchi sikiliza changanya na vya kwako umri unaenda watotot wako watakuuliza kwann wengine wanya nyumba nzuri ww huna! chukua hatua.
Hapana mkuu
Chukua magufuli angekua mtaani kama. Lowassa , nakwambia watu wangepishana naye kama magari. Lipumba mwambie aje mlimany city akipigwa picha hata 2 hata kama ni za bahati mbaya nakupa zawadi nono[emoji28]
 
Kwani ile picha yake haijakamilika maana alianza na
daladala
Akaja mama ntilie
Sasa hv mlimani city itakuwa movie nzuri sana
 
Wakombozi wa Taifa letu hao...! Mungu awabariki sana, muwe na maisha marefu
 
Huyu huyu mkulima ndie aliyechukua kura nyingi kuliko yoyote, ni UVUMILIVU tu kaka msijione wajanja!
Kwa hiyo hayo ndio maudhui ya mahafali? Lazima mpigwe, Hotuba ni kusema eti nilishinda urais nikanyang'anywa! Ebo! Wapigwe tu! Hawana maana machadema hayo!
 
Haya mambo yalikuwa na maana enzi za chama kushika hatamu na si zama hizi. CCM wameshindwa kubadilika baada ya kuanza vyama vingi na kuendeleza siasa vyuoni hadi sehemu zingine zisizofaa. Upinzani wamejikuta wakifata mkumbo huu ambao hauna afya. Tufike mahali tuchore vyema mstari wa wapi uvyama vyama ukome.
unluky
 
Kwa hiyo hayo ndio maudhui ya mahafali? Lazima mpigwe, Hotuba ni kusema eti nilishinda urais nikanyang'anywa! Ebo! Wapigwe tu! Hawana maana machadema hayo!
u look like you want bt u fear thats y u w'll never get
 
Back
Top Bottom