TheCombination
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 370
- 727
Naona wafuatiliaji tumekata moto kwa jinsi Jaji anavyoupiga mwingi
Pamoja na wanachama wote.Mungu ibariki Chadema
hahahahaaa erythrocyte vipi mbona sioni wazungu wameshawachoka na ngonjera zenu na wakili uchwara kibatala wameamua kuwa busy na kazi zao hhhaaaaaa
yaani anayechelewesha kesi ni kibatala yeye kila siku mapingamizi yasiyo na maana ambayo yanatupwa tu kiloa siku kama vile sheria hajui hiyo ni kesi ndogo ya ugaidi bado atanyooooooooka mwaka huu mboweUSHAHIDI WA UGAIDI BADO HATUUONI, Kinachoonekana ni taratibu za ukamataji, kusafiri toka Moshi hadi Dar, kunywa supu na MO energy, kuwekana mahabusu....Sasa ushahidi wa ugaidi tutaelezwa saa ngapi ili tujue?
Nimeshangaa piaSasa askari wa tazara anahusika nn wkt Shahid anakataaa kuwa akina Ling'wenya hakuwa huko ktk kituo Cha tazara? Hata mpubavu atagundua Kuna mchezoe una chezwa
Sasa askari wa tazara anahusika nn wkt Shahid anakataaa kuwa akina Ling'wenya hakuwa huko ktk kituo Cha tazara? Hata mpubavu atagundua Kuna mchezoe una chezwa
Labda ngoja tuzidi kunywa mchuzi nyama ziko chini!!kwani naona kila anayekuja ni juu ya kupokezana shift tu,Shahidi waleo sijui kaja kuthibitisha nini?
Uko sahihi. Kuna watu hawaelewi logics za sheria. Kama umefuatilia, angalia mkanganyiko wa tarehe 8 na 9 ya August 2020 kwenye DR ya TAZARA, kuna issue hapo. Na kuna watu hata hawawezi kuelewa kwa nini evidence ya TAZARA inatafutwa.Watuhumiwa wanadai walipelekwa tazara na sio central polic thats why mkuu wa kituo kaja leo
Kwamba kina Mohamed Ling’wenya hawakufikishwa kituo cha TAZARA kama walivyosema. Huyu shahidi wa leo akiwa kama kaimu mkuu wa kituo, ndiyo kaja kutoa ushahidi kuwapinga watuhumiwa. Lakini inaonyesha kuwa detention register imechezewa. Lazima kuna karatasi zimechomolewa na wamekiri kuna ambazo zimeunganishwa. Kwa mujibu wa hiyo detention register waliyoichakachuwa, kuanzia tarehe 6-9 mwezi wa nane 2020, ni jumla ya mahubusu watatu tu waliokuwemo ndani pale TAZARA. Actually shahidi ambaye ni mkuu wa kituo, anasema tarehe 6 hakukuwepo na mahabusu yeyote pale TAZARA…Na hizo ndiyo zile tarehe ambazo kina Ling’wenya wanasema walipelekwa huko. Na wakasema walipatiwa majina ya tofauti. Kama kuna pages wame ondoa, basi hao mahabusu watatu lazima ni kupangwa tu.Shahidi waleo sijui kaja kuthibitisha nini?
Mallya: hii Nyaraka Ya P3, umeleta wewe ina karatasi imeondolewa
Shahidi: Hapana
Shahidi: Ila inakaratasi imeunganishwa
Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
Mallya: Wakati Unaongozwa na Kaka yangu Kidando Ulieza Kwamba Kuna Karatasi Imeunganishwa?
Shahidi: Hapana Sikusema
Mallya: Muonyeshe au Msomee Mheshimiwa Jaji ni Entry ipi ambayo imeunganishwa
Shahidi: ni Entry namba 275 Mpaka 277
Diplomats siyo kama MATAGA kila siku kuwa nyuma ya keyboards wakifukuzua huku 7. Wale wana roles zingine za kufanya. Kesi washajua ni magumashi, wanasubiri case close.hahahahaaa erythrocyte vipi mbona sioni wazungu wameshawachoka na ngonjera zenu na wakili uchwara kibatala wameamua kuwa busy na kazi zao hhhaaaaaa
Yaani mlolongo wote ni namna ya ukamataji ulivyofanyika, taratibu za kusafrisha washitakiwa, taratibu za kuandika maelezo, taratibu za kula....Haaa! Siku zote kila shahidi anayeletwa anasimulia yale yale, sasa KIINI hasa Cha shitaka lenyewe la ugaidi kitaelezwa na shahidi gani? Tumetega sikio mpaka tunachoka hatuono ugaidi.Yaani tangu mlolongo wa kesi uanze sijaona shahidi hata mmoja aliyethibitisha namna ugaidi ungefanywa
Kesi ya msingi ni ugaidi. Mashahidi muhimu kina Kingai wangekuwa tayari wametoa picha ya ugaidi, lakini hawa key witnesses wanaongelea ukamataji na ulaji wa supu na kuharibika kwa gari njiani. Kama hawa mashahidi muhimu wanaongelea unywaji wa MO energy tu, Sasa shahidi gani ataongelea UGAIDI?yaani anayechelewesha kesi ni kibatala yeye kila siku mapingamizi yasiyo na maana ambayo yanatupwa tu kiloa siku kama vile sheria hajui hiyo ni kesi ndogo ya ugaidi bado atanyooooooooka mwaka huu mbowe