Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

Huyu shahidi wa leo alipokuwa anafanyiwa examination na upande wa utetezi alikuwa anaonesha kajeuri fulani ka - kipolisi...

Ikashangaza kidogo kwani hata alipofanyiwa re examination na mawakili wake, nako akawaonesha jeuri ya kipolisi...

Mfano aliulizwa:

KIBATATALA: Unajua kuwa wewe ukiwa mkuu wa kituo cha Polisi, kila unapoondoka kituoni unatakiwa kuteua mtu kushika nafasi kwa muda wote ambao haupo kituoni?

SHAHIDI: Mimi sijui hilo, na hill so lazima sana. Ninachojua mimi nimekuja hapa kutoa ushahidi wangu na baadae narudi zangu kazini kuendelea na majukumu yangu...!!

Huyu shahidi wa leo alikuwa kiboko aisee...
Sioni umahili wake Ni mmoja wamashahidi walio haribu Sana mtililiko wa upande wa watesi maana sasa amewaongezea mzigo wa kutiliwa Shaka ushahidi wao.
Mhimu Ni kuwa anapaswa kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria na sio kwa mujibu wa matakwa yake.
 
Ni zaidi ya bao la mkono.

Detention Register iliyoletwa na Shahidi wa leo imekuja kutusaidia kuthibitisha kwamba ile iliyoletwa juzi ilikuwa feki japo hata hii iliyoletwa leo kuna baadhi ya pages zimeondolewa na zingine wameunganisha ila Shahidi wao tayari keshameza ulimi.😂😂😂
Uvumilivu umekushinda eeeh 🤣 🤣
 
Sioni umahili wake Ni mmoja wamashahidi walio haribu Sana mtililiko wa upande wa watesi maana sasa amewaongezea mzigo wa kutiliwa Shaka ushahidi wao.
Mhimu Ni kuwa anapaswa kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria na sio kwa mujibu wa matakwa yake.
Ungenisoma vizuri na kwa utulivu. Hakuna mahali nimesema shahidi huyu ni "mahiri" sana...

Tupo pamoja. Hatutofautiani
 
Back
Top Bottom