Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

USHAHIDI WA UGAIDI BADO HATUUONI, Kinachoonekana ni taratibu za ukamataji, kusafiri toka Moshi hadi Dar, kunywa supu na MO energy, kuwekana mahabusu....Sasa ushahidi wa ugaidi tutaelezwa saa ngapi ili tujue?
yaani anayechelewesha kesi ni kibatala yeye kila siku mapingamizi yasiyo na maana ambayo yanatupwa tu kiloa siku kama vile sheria hajui hiyo ni kesi ndogo ya ugaidi bado atanyooooooooka mwaka huu mbowe
 
Sasa askari wa tazara anahusika nn wkt Shahid anakataaa kuwa akina Ling'wenya hakuwa huko ktk kituo Cha tazara? Hata mpubavu atagundua Kuna mchezoe una chezwa

Watuhumiwa wanadai walipelekwa tazara na sio central polic thats why mkuu wa kituo kaja leo
 
Watuhumiwa wanadai walipelekwa tazara na sio central polic thats why mkuu wa kituo kaja leo
Uko sahihi. Kuna watu hawaelewi logics za sheria. Kama umefuatilia, angalia mkanganyiko wa tarehe 8 na 9 ya August 2020 kwenye DR ya TAZARA, kuna issue hapo. Na kuna watu hata hawawezi kuelewa kwa nini evidence ya TAZARA inatafutwa.

Cc lisolili
 
Shahidi waleo sijui kaja kuthibitisha nini?
Kwamba kina Mohamed Ling’wenya hawakufikishwa kituo cha TAZARA kama walivyosema. Huyu shahidi wa leo akiwa kama kaimu mkuu wa kituo, ndiyo kaja kutoa ushahidi kuwapinga watuhumiwa. Lakini inaonyesha kuwa detention register imechezewa. Lazima kuna karatasi zimechomolewa na wamekiri kuna ambazo zimeunganishwa. Kwa mujibu wa hiyo detention register waliyoichakachuwa, kuanzia tarehe 6-9 mwezi wa nane 2020, ni jumla ya mahubusu watatu tu waliokuwemo ndani pale TAZARA. Actually shahidi ambaye ni mkuu wa kituo, anasema tarehe 6 hakukuwepo na mahabusu yeyote pale TAZARA…Na hizo ndiyo zile tarehe ambazo kina Ling’wenya wanasema walipelekwa huko. Na wakasema walipatiwa majina ya tofauti. Kama kuna pages wame ondoa, basi hao mahabusu watatu lazima ni kupangwa tu.

Mallya: hii Nyaraka Ya P3, umeleta wewe ina karatasi imeondolewa

Shahidi: Hapana

Shahidi: Ila inakaratasi imeunganishwa

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa

Mallya: Wakati Unaongozwa na Kaka yangu Kidando Ulieza Kwamba Kuna Karatasi Imeunganishwa?

Shahidi: Hapana Sikusema

Mallya: Muonyeshe au Msomee Mheshimiwa Jaji ni Entry ipi ambayo imeunganishwa

Shahidi: ni Entry namba 275 Mpaka 277
 
hahahahaaa erythrocyte vipi mbona sioni wazungu wameshawachoka na ngonjera zenu na wakili uchwara kibatala wameamua kuwa busy na kazi zao hhhaaaaaa
Diplomats siyo kama MATAGA kila siku kuwa nyuma ya keyboards wakifukuzua huku 7. Wale wana roles zingine za kufanya. Kesi washajua ni magumashi, wanasubiri case close.
 
Yaani tangu mlolongo wa kesi uanze sijaona shahidi hata mmoja aliyethibitisha namna ugaidi ungefanywa
Yaani mlolongo wote ni namna ya ukamataji ulivyofanyika, taratibu za kusafrisha washitakiwa, taratibu za kuandika maelezo, taratibu za kula....Haaa! Siku zote kila shahidi anayeletwa anasimulia yale yale, sasa KIINI hasa Cha shitaka lenyewe la ugaidi kitaelezwa na shahidi gani? Tumetega sikio mpaka tunachoka hatuono ugaidi.
 
yaani anayechelewesha kesi ni kibatala yeye kila siku mapingamizi yasiyo na maana ambayo yanatupwa tu kiloa siku kama vile sheria hajui hiyo ni kesi ndogo ya ugaidi bado atanyooooooooka mwaka huu mbowe
Kesi ya msingi ni ugaidi. Mashahidi muhimu kina Kingai wangekuwa tayari wametoa picha ya ugaidi, lakini hawa key witnesses wanaongelea ukamataji na ulaji wa supu na kuharibika kwa gari njiani. Kama hawa mashahidi muhimu wanaongelea unywaji wa MO energy tu, Sasa shahidi gani ataongelea UGAIDI?
 
Ifike mahali Wananchi Tuwe na Uchungu na Kodi zetu , huu mchezo tunaochezewa na Serikali Ni Mbaya Sana kwa Matumizi Ya Kodi Zetu. Watanzania Tukisikia Mahakamani Ndio sehemu yakupata ukweli tunakuwa kama tumenyweshwa ULANZI ulio lala, tunakubari na kukaa kimya. Ifike pahala na Mahakama Nazo tuanze kuzipigia kelele kama Tunavyozipigia Kelele Tozo na Bunge.

Haiwezekani hii kesi Toka imeanza Hakuna Jipya Lililoletwa. Toka mashahidi wameanza kutoa Ushahidi… unaelezewa Mchakato wa Namna Ya Kuwakamata Watuhumiwa, Kuwasafirisha na Kuwa Hifadhi. Sasa Hii ni Too Much na Kila Askari anaye kuja Anamtiririko ule ule wa shahidi wa Kwanza… Kikubwa wanachofanya nikujipambanua na kujionesha kuwa Hawajui Sheria. Ifike Pahala JAJI ATOE MUONGOZO, Hawa mashahidi wote akina Polisi Hawa walikuwa wanauwezo wa Kuja Siku moja Wakatoa Ushahidi wao ukaisha. Kila Siku ni DR DR DR, Alitakiwa aje askari hapa ana FLASH yenye CCTV CAMERA zikionesha Namna Watuhumiwa walivyo hojiwa, Walivyo hamishwa Vituo.

Huyu wa leo ni nani alimteua kuwa mkuu wa Kituo? Askari Hana Akili Amesomea wapi? Taratibu za ofisi hajui na ana PGO…. DR anaombwa anasema Mpaka atafute? Hajui kuhifadhi Document? Jamani Zamani Wanajeshi Walivyo kuwa Wanawadharau Polisi nilijua Wanawaonea Kumbe hawa jamaa kweli Akili hamna Kuanzia Mkubwa hadi mdogo….

Mtu anakurupuka tuu ofisini anaondoka anavyojisikia, Kituo Kikivamiwa Atasema nini? Na wanasema Tanzania Kuna Magaidi.

Tanzania Lets Stand Up
 
Back
Top Bottom