Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua.
Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.
Ndugu LUDO hakuna anaekuchukia ila tunakuomba ujidhihirishe uliko na ujisikie aibu kudandia dandia hizo lifti. Tukio la Lwakatare ulihusishwa, siku anatekwa kibanda nawe uliweka uzi hapa kuwa ulipata madhila usiku na kuripoti kituo cha polisi kigogo, Leo tena kwenye gari la viongozi wa ACT ambao walibebeshwa mzigo wa usaliti CDM nawe umo kwenye lifti. Kumbuka kuwa ulibisha kwa kila namna kuwa wewe si msaliti CDM bali wanakusingizia. Kwa wale waislamu Mungu anasema kuwa "Wale wenye maradhi katika nafsi zao mungu huwaongezea" pia wale wanaojinasibisha kuwa wameamini na wakawa wanawadanganya wenzao, hawawadanganyi walioamini bali wanajidanganya nafsi zao". HIVYO JISIKIE AIBU KUSIKIKA KATIKA HADITHI ZA AINA HII KILA MARA TAMBUA KUISHUSHA CREDIBILITY NI RAHISI SANA ILA KUIPANDISHA NI NGUMU SANA.
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Nilikuwa nadhani Wazee wenye umri wa miaka 50 plus ndiyo wa kulaumiwa kwa kushindwa kutuletea maendeleo kwenye nchi yenye rasilimali za kila aina, kumbe nilikuwa nakosea sana! Vijana ambao ni drive force ya economy mnakubali kutumiwa kirahisi sana! Mnaacha kuungana kuunganisha nguvu kwa maslahi mapana ya kizazi hiki na kijacho mnaishia kutumiwa kuzusha uongo, kuua chachu ya mabadiliko ya kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni! Hivi wewe Ludo, Zitto et al Usaliti wenu umewaondolea UMASIKINI kwa kiasi gani? Ninyi ni mateja? kwanini mna nunulika kirahisi kiasi hicho?...
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Joseph Ludovic

Sijui ni bahati mbaya ama ni sehemu ya mkakati wako wa kufanya siasa, sijui. Kwa mfano, kwenye uzi huu umeupa kichwa cha habari ati 'Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro' lakini yaliyomo sio yaliyotajwa kwenye kichwa cha habari. Pili, pengine ni kweli kabisa unaipenda Chadema kwa damu na usaha, lakini matendo yako dhidi ya Chadema hayafanani na kauli zako. Sidhani kama hujui kuwa mapenzi yako kwa chadema unayoyaimba kila unapopata mwanya, hayafani na matendo yako ya kuibomoa chadema kama yanavyoendelea kuandikwa na historia ya siasa zetu na kurekodiwa na vyombo mbalimbali vya habari.

Ukiendelea kuwa vuguvugu namna hii bila kujipambanua kimsimamo wa kisiasa ama falsafa ya unachoamini kwenye siasa, uchumi na jamii, hakuna kundi lolote kati ya unaloliunga mkono ama unalolipinga wataweza kukuamini ili kufanya kazi nawe. Usisahau kuwa siasa hazina rafiki wala adui wa kudumu bali malengo ndio yanatawala.

Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

hapo kwenye red panathibitisha kabisa mrengo wako; uache unafiki
 
Haki sawa,
niko chadema kwa miaka sasa. nimekuwa makao makuu ya chama kwa muda sasa.mwigamba alipoombwa kuja kuwa mhasibu alinikuta.
nimeshiriki naye mambo mengi akinipa malipo yangu akiwa mhasibu wa chama.nimekuwa naye kwenye operation za chama kwenye chaguzi ndogo.mwigamba amekuwa anaandika makala nyingi kupitia kalamu yake.
so tunafahamiana. alipopata matatizo chamani na hatimaye kufukuzwa, na sasa akiwa ACT bado nawasiliana naye.
sasa nilimuomba lift anifikishe dodoma.yeye alikuwa anaenda kigoma. baada ya ajali yeye amerudi dar,mimi niko dodoma naendelea na shughuli zangu.

Aisee we ng'ombe bora ungenyamaza tu! Nini hii unaandika?
 
Duuu kweli kwa haya Ben ana haki ya kuingia mitini kabisa! Unajua una mtisha sana na atakuwa amekimbilia mtaa wa facebook!
Daaa wewe ni kiboko ya Bavicha!

Mkuu Lizaboni unajaribu kusema Ben Saanane nae ni ACT? Ndio maana hadi sasa hajajitokeza? Daaa kumekucha.
Mkuu taratibu ujue utafanya Ben Saanane asijitokeze kabisa!
Mkuu MSALANI hebu Muulize kama Ben ni mwamba mbona kajificha hadi sasa? Daaa jeseph ludoVick ni kiboko ya bavicha.
Mkuu Joseph Ludovick hakika wewe ni mwamba na kiboko wa Bavicha, Maji yamewafika shingoni na wameona wamfiche Ben Saananesababu wanajua akija hapa mambo yote yatakuwa hadharani.
Duuu Mbwembwe zote za Ben na Bavicha kaingia mitini!
Mkuu MSALANI, Ben ameshajitokeza kukabili kimbunga cha Tsunami?
Wewe huyo Yericko wako hajaitwa hapa maana hana lolote, hapa kaitwa Boss wake Ben saanane.
Mkuu tafadhali mwambieni Ben ajitokeze.

Duuu siamini macho yangu Ben Saanane kaingia mitini duuu kweli Ludovick ni kiboko ya bavicha.
Mkuu tafadhali mtoe pangoni Ben
akutane na Kimbunga!

Inaonekana unajishobololwa sana kwa huyo Ben..yani kila post yako ni Ben ..Ben Ben?? He!! we wakiume kweli?
 
Taarifa; Ridhiwani kikwete na January Makamba nao wapo ACT. Not officially published.
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Ngoja kwa mkuu, tuende polepole, kwani wewe ni nani hasa katika Taifa hili, na niambie mchango wako hapa jukwaani.
 
Pandambili is not even in Morogoro you idiot; Pandambili ni kijiji kinachofuata ukitoka Gairo kama unaelekea Dodoma na kipo katika Wilaya ya Kongwa ambayo ipo mkoa wa Dodoma. Halafu maudhui ya thread yako hii ni nini sasa!
 
Back
Top Bottom