mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,170
Tofa , Naona Mungu amekubakiza utubu uache u-Yuda
Wewe umewahi kuwa nani mkuu? Hebu tupe wasifu wa vyeo vyako kisiasa.
wewe fa-la acha tabia yako ya kutajataja wanaume watakuzalisha mtoto wa tatuMkuu Lizaboni unajaribu kusema Ben Saanane nae ni ACT? Ndio maana hadi sasa hajajitokeza?
Daaa kumekucha.
mnaona! Kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. Nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. Wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
Sasa nitajibu maswali kama yapo.
Kuanzia mimi ni mwanachama wa chadema.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.
Inaonekana unajishobololwa sana kwa huyo Ben..yani kila post yako ni Ben ..Ben Ben?? He!! we wakiume kweli?
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.
Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.
Nataka niongee kidogo.
acha kujifariji msalitivmkubwa wewe.
Nani bado anakutambua na kukuthamini chadema.
Endelea tu kutumika kama condom k.....m wewe.
Mwenyekiti wa kijiji.
Duhhh.........wana mpaka mabalozi siku hizi?huna sifa za kuwa hata balozi wa nyumba kumi,ungekuwa hapa mwanza labda ungekuwa balozi wa dada powa hapo vitunguu!
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.
Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.
Nataka niongee kidogo.
Soma hiki kisa kwa makini
AMWAGIWA TINDIKALI NA KUUNGUA VIBAYA MJINI IGUNGA
MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala leo kwa gharama za CCM
Kumekuwepo na kushutumiana kati ya vyama vya CCM na CHADEMA kutokana na matukio kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea, hasa katika kipindi hiki cha Kampeni kuelekea uchaguzi mdogo wa Mbunge wa jimbo la Igunga, kufuatia kujiuzulu kwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo Bw. Rostam Azizi
Vyombo vya usalama na ulinzi vinatakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na umakini mkubwa kwa muda wote wa kampeni za uchaguzi katika jimbo hilo, ili kudhibiti vitendo kama hivyo vinavyoweza kupelekea uvunjifu wa amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni jimboni humo.
MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wasiofahamika , ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kupandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala leo kwa gharama za CCM
Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)
Hawa misukule ya cdm wananishangaza sana, yani hata uwezo wa kufikiria ni mdogo sana wamebaki wanafuata upepo, ludo kuondoka cdm sio kosa wa dhambi bali ni suala la demokrasia. Kila mtu ama haki ya kujiunga na chama chochote kama mnamuona msaliti hapo cdm amewachia cdm yenu kwanini mnaendelea kumwandama, au ndio mbinu mnazutumia kujenga hicho chama. Pia kama kweli ludo na lwakatare walikuwa wanapanga mipango ile ya kuteka je hiyo ndio demokrasia mnayoipigania? Nakupongeza sana bwana ludo kwa kufichuo mipango ovu ya kudhuru raia
huna sifa za kuwa hata balozi wa nyumba kumi,ungekuwa hapa mwanza labda ungekuwa balozi wa dada powa hapo vitunguu!