Nilifikiri uliogopa kuukabili ukweli.sasa usiondoke. lakini nafikiri utakuwa muungwana kuji limit kwenye mambo yasiyo mahakamani.naamini kiwango hicho cha chini kabisa cha uelewa unacho.
Nimekuwa sipendi kujadili hapa hasa kwa sababu watu wana utambulisho wa kificho.lakini aghalabu nataka niongee nawewe maana unatumia jina halisi.
Kwanza kila mtu mwenye kutumia akili yuko mentally challenged.vingonevyo huyo asiye mentally challenged ni maiti tu.kwa hiyo hilo siyo tusi.umesema vema.
Pili, you are no body special kuhoji eti nimetoa wapi ujasiri kuongea na wewe.
Tatu haya unayoongea juu ya mpango wetu naomba uwe elaborate na specific. siku za karibuni baada ya ushabiki uliopokea hapa jukwaani kutoka kwa fanatic wa chadema, umekuwa muumini wa manipulations. unadanganya kwa kuwa unajua kuna wasiyo interrogate unayosema.
sasa uwe mkweli angalau kwa heshima ya wanajukwaa. kwa hiyo mimi nimehusika vipi kwenye hayo unayoita mipango ya kuhisisha chadema na tukio la jana? tuanzie hapo.