Kuzikwa ni heshima, huyu ana stahiki hiyo heshima ? Ungeishia hadi siku ya kufa........Hakumtaja kwa sababu walikuwa wamepanga mipango ya kishetani lakini Mungu akawaumbua.
Ushetani aliomfanyia Lwakatare utamtafuna huyo msaliti Ludo mpaka siku atakayozikwa
Swali, hivi Ludo ulijuaje/ulipata vipi habari kuhusu ACT kufanya ziara Kigoma mpaka ukawaomba lifti?
Kigoma , ulishawahi kwenda au ndio mara ya kwanza kwenda?
Kwanini mwenezi wa ACT , aliogopa kutaja jina lako kuwa wewe ulikuwa sehemu ya Msafara wa ACT?
Mbona wewe ni ACT ? Hili ni jumuiko la wanafiki ! Nawe si Mnafiki!Hii sasa ni hatari. Kumbe Ludovick Joseph na Ben Saanane ni ACT Tanzania! Hakika Ndani ya CHADEMA atabaki Mbowe na Dr Slaa tu
Duhunastahili kifo wewe muongo mzandiki na mtu wa bei ndogo
Huko ACT ulikuwa umetumwa ......ndio maana unasisitiza kuwa Chadema au?niliwahi kuandika kuwa wanaokutumia ndio hawana akili, maana kila mpango unaoshirikishwa huwa unafeli kabla ya kuanza......jaribio lingine lililoshindwa.....Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.
Mnafiki na Mganga njaa mkubwa!
Msaliti wa Mageuzi usiye na aibu!
Dhambi ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nne!
Na bado!!
Wewe ni msukule wa knondoni tu. unajitoa ufahamu kwa mambo yanayojulikanaMbona wewe ni ACT ? Hili ni jumuiko la wanafiki ! Nawe si Mnafiki!
Mwanachama wa CHADEMA huku ukiwa mwanamkalati wa ACT?Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.
Mnaona! kama
tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka
ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo.
wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote
in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama
chochote kingine.
Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.

Mwanachama wa CHADEMA huku ukiwa mwanamkalati wa ACT?
Unaumwa ugonjwa wa hatari , hauna kinga wala tiba , ni lazima ufe ......UNAFIKI ...usaliti .....uzandiki ( UUU)Wewe ni msukule wa knondoni tu. unajitoa ufahamu kwa mambo yanayojulikana