Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
nashauri ben usipoteze muda kuongea na wahuni hawa! Let them die at their own
mkuu kwanini uliamua kuweka maneno yale kama hataki mjadala na ludo?
nashauri ben usipoteze muda kuongea na wahuni hawa! Let them die at their own
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.
Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.
Nataka niongee kidogo.
Kama unaakili timamu kaa kimya kijana katika nyakati hizi cv yako imechafuka sana katika jamii subiri watu wasahau kama utaendelea kujibizana na watu udhalilika hadi kizazi cha nne huo ni ushauri wa bure
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.
Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.
Nataka niongee kidogo.
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.
Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.
Nataka niongee kidogo.
Mkuu Ben Saanane ana hitajika.Joseph Ludovick unaweza kujipima kisha kujiuliza ni kwa nini wanaokushabikia hapa ni CCM na wasioipenda Chadema?
Ludovick,
Umeshakua mentally challenged utatoa wapi uwezo wa kuni-challenge?
Wewe ni ACT au CHADEMA?
wewe hile video si fake Rwakatale ni gaidi.kweli nimeamini JICHO LA CHADEMA NI KAMA LA TAI ! HAYA WALE WOTE MLIOIAMINI ILE VIDEO FEKI YA UGAIDI WA LWAKATARE , MNA LIPI LA KUSEMA , KUHUSIANA NA LUDO KUFUMANIWA KWENYE GHETTO LA WASALITI ?
unastahili kifo wewe muongo mzandiki na mtu wa bei ndogo
ludovick,
umeshakua mentally challenged utatoa wapi uwezo wa kuni-challenge?
Wewe ni act au chadema?
Ben Saanane ni miongoni mwa wajinga wachache ninaowajua nchi hii.
Ludovick,
Umeshakua mentally challenged utatoa wapi uwezo wa kuni-challenge?
Wewe ni ACT au CHADEMA?
Sikua hewani tangu Mchana.Nashangaa huo ujasiri wa kuniita huku umeutoa wapi
Lengo lenu tangu jana ni kutaka kuipakazia ChADEMA kashfa ya mauaji na mlishirikisha baadhi ya waandishi wa habari ambao pia walikimbilia huku kuchangia muda mfupi baada ya Taarifa na mkakati huo kuwafikia.
Wewe na Mohammed Masaga ndio mlikua waratibu wakuu mkipewa maelekezo na Samson Mwigamba
Wewe,Mchange na Mohammed Masaga mlibeba jukumu la kupasambaza siasa chafu dhidi ya CHADEMA kuhusu ajali hii mkihusisha na ajali ya Chacha Wangwe
Pia mmeabdika habari na mkatuma kwenye vyombo vya habari hasa magazeti yanayotoka Jumapili,Jumanne na Jumatano
Ni kipi cha uongo hapa? Kwanza wewe hukutaka ujulikane kuwa ulikuwa katika msafara.

Kama Ben Saanane ni mjinga basi wewe unaakili za nguruweBen Saanane ni miongoni mwa wajinga wachache ninaowajua nchi hii.
Mungu wako ni Mwigulu Nchemba ambaye mungu wake ni ccm. Wewe ni malaika wa ccm
Acha kubishana na wenye ubongo wa mbeng'o usije ukafananishwa nai mkuu. Kila hila ya Ludovick na kundi lake itaumbuliwa hadharani. Natamani hiyo ajalu ingemfumua ubongo.