Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Dhambi ya usaliti itaendelea kukumaliza,kumbe wewe,zitto mwigamba na kitila ni watu mlioandaa mpango wa ACT kwa muda mrefu,lakini mbinu zenu zimejulikana
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Nauliza tena kwanini mlipanga mpate ajali pandambili??
 
sa si bora ungekufa kabisa ...... kwani maisha yako yana thamani gani kama pesa inakufanya ujitoe utu wako? narudia tena NI BORA UNGEKUFA KABISA LUDOVICK
 
Mnaona! kama tunataka kuelewa baadhi ya mambo tuchangie kwa kustahmiliana. nimemtaka ben kwa sababu amesema alijua mipango yetu.so nilitaka tuchunguze hilo. wewe yericho ni wewe unajiita heavy weight.sijawahi mimi kusikia popote in chadema circles ukiongelewa.
sasa nitajibu maswali kama yapo.
kuanzia mimi ni mwanachama wa CHADEMA.sijawahi kujiunga na chama chochote kingine.
kwani tangu lini uliona kondomu inabaki kwenye uume...??? kondomu ni ya kutumika na kutupwa wewe ni mwanachama mfu ambaye hatuna haja ya kukufukuza maana utajitwalia umaarufu wa bure....utakufa kifo kibaya sana kijana nakuambia Mungu anawalipia wabaya hapahapa duniani tusubiri
 
Habari yoyote inayotolewa na Jackton Manyerere huwa ni fabricated, mlijitangaza mmepata ajali ili kupromote chama chenu cha wakuda
 
sa si bora ungekufa kabisa ...... kwani maisha yako yana thamani gani kama pesa inakufanya ujitoe utu wako? narudia tena NI BORA UNGEKUFA KABISA LUDOVICK

Hana thamani yoyote hapa duniani,alijitoa utu wake baada ya kukubali kuwa yeye ni kondomu iliyotumika ikatupwa.Kiufupi hata angekufa isingekuwepo tofauti kati yake na mzoga tena wa umbwa
 
Wewe una thamani gani zaidi ya kusasambua mbele ya wanaume na kulipwa dinari?
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Mungu alimua kutoa pigo tu ili ujifunze hatimaye utubu madhambi yako
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

pole sana kamanda watu hawajui kuwa siasa siyo uadui!

Aya ya kwanza umesema unataka kueleza ..... Lakini sijtaona
 
Huna Lolote, Wewe Ni Msaliti Tu, Unataka Upate Huruma Za Watu? Mbafu Sana Wewe
 
Ludo msariti, ukikaa kimya utaonekana unaakili hata kama ni --------! Ben hajakuogopa ila kaona chizi kachukua nguo zake kaamua kumuacha maana akimkimbiza yy ndio ataonekana chizi! Big up Ben achana na kukimbizana na wafu wa kisiasa!
 
Huna Lolote, Wewe Ni Msaliti Tu, Unataka Upate Huruma Za Watu? Mbafu Sana Wewe
 
Narudia tena. Mungu asaidie ufe ukiwa below 40 maana waweza kutusumbua sana na njaa zako.
 
Vijana wote wanaojitambua wako ACT
umebaki wewe tu ulieshikiwa akili zako, nasiku ukirudishiwa akili zako atishangaa ulivyokuwa zezeta.

Vijana wote wenye njaa kali ka mbwa koko wako ACT mfuko ukikauka tu ACTvwote wanatimka.
 
Nilifikiri uliogopa kuukabili ukweli.sasa usiondoke. lakini nafikiri utakuwa muungwana kuji limit kwenye mambo yasiyo mahakamani.naamini kiwango hicho cha chini kabisa cha uelewa unacho.
Nimekuwa sipendi kujadili hapa hasa kwa sababu watu wana utambulisho wa kificho.lakini aghalabu nataka niongee nawewe maana unatumia jina halisi.
Kwanza kila mtu mwenye kutumia akili yuko mentally challenged.vingonevyo huyo asiye mentally challenged ni maiti tu.kwa hiyo hilo siyo tusi.umesema vema.
Pili, you are no body special kuhoji eti nimetoa wapi ujasiri kuongea na wewe.
Tatu haya unayoongea juu ya mpango wetu naomba uwe elaborate na specific. siku za karibuni baada ya ushabiki uliopokea hapa jukwaani kutoka kwa fanatic wa chadema, umekuwa muumini wa manipulations. unadanganya kwa kuwa unajua kuna wasiyo interrogate unayosema.
sasa uwe mkweli angalau kwa heshima ya wanajukwaa. kwa hiyo mimi nimehusika vipi kwenye hayo unayoita mipango ya kuhisisha chadema na tukio la jana? tuanzie hapo.

KIJANA HAKUNA ANAYEKUAMINI HUMU , NI KAMA UNApOTEZA MUDA WAKO BURE , SHORTLY NI KWAMBA WEWE UMEFILISIKA KISIASA .
 
Dahh!! Mpaka sasa page ya 17 Ludo Isikariote hujasema lolote tu!!?? Mi nilidhani una lolote la msingi kumbe porojo tu? Haya ndiyo uliyokuwa unapigia kelele tangu mchana, njoo Ben njoo Ben!?

Kaja sasa Ben, unachokisema kiko wapi!!?? Ningekuwa Mods Ban ilikuwa inakuhusu!! Nyamb***!!
 
Back
Top Bottom