Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Yoooo !!! dude unatisha;
issue ya Lwakatare ulikuwa ni main character.
Issue ya kibanda ulikuwapo kwenye hiyo movie
Issue ya hii propanganda ya ajali ya ACT iliyopangwa kuhusisha kifo cha Wange upo.

Tell us what we don't know.....
kwa Ulimboka vipi ulikuwepo,
Dr.Mvungi je?
Ulikuwa wapi siku ya bomu la Arusha?

Long story short ...Image yako imechafuka sana ...
 
Yoooo !!! dude unatisha;issue ya Lwakatare ulikuwa ni main character.Issue ya kibanda ulikuwapo kwenye hiyo movieIssue ya hii propanganda ya ajali ya ACT iliyopangwa kuhusisha kifo cha Wange upo.Tell us what we don't know.....kwa Ulimboka vipi ulikuwepo,Dr.Mvungi je? Ulikuwa wapi siku ya bomu la Arusha?Long story short ...Image yako imechafuka sana ...
Huyu jamaa Joseph Ludovick ni hatari. Ukikutana naye tu, ni nusu ajali. Mumiani,msaliti wa mabadiliko. Sakata la kutekwa kwa Rais wa Wanafunzi,Bugando,achunguzwe.Nadhani siku ya ajali alikuwa anasafiri kwenda Mwanza.
 
Last edited by a moderator:
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

unalanaa ya mama yako sijui naihuko TISS anarecruit mapepe kama nyie no wonder nchi inaliwa na ukoo wa kikwete
 
Yoooo !!! dude unatisha;
issue ya Lwakatare ulikuwa ni main character.
Issue ya kibanda ulikuwapo kwenye hiyo movie
Issue ya hii propanganda ya ajali ya ACT iliyopangwa kuhusisha kifo cha Wange upo.

Tell us what we don't know.....
kwa Ulimboka vipi ulikuwepo,
Dr.Mvungi je?
Ulikuwa wapi siku ya bomu la Arusha?

Long story short ...Image yako imechafuka sana ...
Nchemba anathibitisha kumtuma kazi Ludo. Sikiliza clip hii fupi ya dakika moja

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom