Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
382
Reaction score
506
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu. nimesoma michango yenu juu ya ajali.nawashukuru kwa kunipa pole. hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema.siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu. Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
zaidi nimeona Ben saa nane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. namchallenge sasa aje hapa tuongee.
nataka niongee kidogo.

Ni lini ulihamia ACT? Vijana mnatangatanga sana, kote huko ni kuganga njaa sijui kama tutafika!
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu. nimesoma michango yenu juu ya ajali.nawashukuru kwa kunipa pole. hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema.siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu. Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.
zaidi nimeona Ben saa nane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. namchallenge sasa aje hapa tuongee.
nataka niongee kidogo.

mara zote huwa unatokea kwnye matukio ya utata utata. vipi na ile picha iliyowekwa hapa unaizungumziaje? kuna watu walisema unapenda sn kuomba omba ela hata ukivyokuwa cdm vp na ndio maana ukaomba lift?
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu. Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu. Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu. Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee. Nataka niongee kidogo.
Hukuchubuka?? sawa, ila fahamu hiyo siyo adhabu ya Mungu but it is a warning signal from God.
 
una divert kwa kutaka kum challenge Saanane?

umehama lini Chadema?kwa nini mlijitengenezea ajali?

Mlaumu ACT Uenezi kwa kutokua wazi na kukutaja kama watu wawili

yaliyofichwa yamefichuka,aliyefichwa sasa anajifichua
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

unastahili kifo wewe muongo mzandiki na mtu wa bei ndogo
 
Mungu wako ni Mwigulu Nchemba ambaye mungu wake ni ccm. Wewe ni malaika wa ccm
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.
Yaliyojiri ni yepi? Mbna umeshikwa na kihoro?Waelezee Wana Jf kilichojiri,
 
Unaingia na kukimbia ukoje wewe? Uje ujibu shutuma
 
Te te te teh... tupe habari za majeruhi wengine wa ACT kwenye hiyo ajali
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Heri kukuna na Shetani ulikokukutana na wewe Ludo.
 
Ben Saanane njoo uumbuliwe hapa!
 
Last edited by a moderator:
Samahani kusema lakini huyu kijana Ludo ni mjinga maana angekuwa ----------- angejifunza.
 
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

Shida yako unapenda kutumika kama Condom,
Umekaa kinjaa njaa tu, na watu kama nyinyi hamtakaa mfanikiwe milele maana mnaishi kwa kutegemea fitna na majungu!!
 
Back
Top Bottom