Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Yaliyojiri baada ya kupata ajali Pandambili - Morogoro

Mnafiki na Mganga njaa mkubwa!

Msaliti wa Mageuzi usiye na aibu!

Dhambi ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nne!

Na bado!!

mageuzi yepi unayo yapigia upatu mkuu au name wewe njaa turn!?
 
Ludovic wewe boya kweli.... una level gani wewe hadi utake kuingea na Ben Saanane?

Unataka kuzungumzia nini? Au unataka kuzungumzia mkanda wako wa Ugaidi ulioyeyuka?

Unafiki mpelekee Zitto.... mtu mzima kutumika kama kinga inashangaza.
 
Duuu siamini macho yangu Ben Saanane kaingia mitini duuu kweli Ludovick ni kiboko ya bavicha.
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia vizuri unaona vijana wa Lumumba wanakitetea sana ACT pamoja na huyu Ludo lazima kuna jambo kubwa nyuma ya pazia kati ya CCM, ACTna Ludo
Mkuu Gamaha usishangae,ACT ni mradi wa CCM.
ACT...Assist CCM Technically
 
Last edited by a moderator:
Jibu maswali yangu yako straight na specific .........utaumbuka .........endeleza ,,,,,,,nimekutajia Julieth Lushuli ili ujue unayepambana naye Ana taarifa kuhusu wewe kwa kiasi gani ...........Jukumu la kumfuatilia Zitto na kundi lake 2009 kwenye uchaguzi wa Chadema ulipewa kama maandalizi ya kukuangalia kama ingefaa kuwa recruited ......ila ukaonekana huna sifa ......ndio maana ukaachwa hadi ulipoanza kutumika na Mwigulu na TISS kwa hoja ya kupata milioni 30 .......unakumbuka ? Yawezekana nikawa ndio mwajiri wako kijana jitetee

Bado kwa maoni yangu hujui hata unachotaka kusema. your words betrays you. kumbe unajua nimewahi kupewa majukumu makubwa kama kumchunguza naibu katibu mkuu! na bado huelewi kuwa nilikuwa na majukumu makao makuu? angesema haya mwanafunzi wa darasa la saba ningeelewa.
 
Kaka Ludovick acha kujidhalilisha kamanda, Chagua chama kimoja kama ni ACT au CHADEMA, pia kwa jinsi nilivyokusoma hujui kujenga hoja sasa huyo Ben Saanane akija hapa atakuumba na kukuvua nguo mchana peupe.
 
Last edited by a moderator:
Nakusudia kuandika kidogo juu ya mambo mengi ya uongo na upotoshaji yanayosemwa dhidi yangu.

Nimesoma michango yenu juu ya ajali,nawashukuru kwa kunipa pole na hata wale waliotamani nife ninawashukuru.Lakini Mungu ni mwema,siyo tu sikufa bali mimi sikupata mchubuko tu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyekunywa viroba hawezi kusema katika ulinzi wote wa Mungu aliotupatia,yeye akasema eti hiyo ni adhabu Mungu katupa!. bila shaka huo ni ulevi tu.

Zaidi nimeona Ben Saanane akisema amejua "mipango yetu" na eti akatuumbua. Namchallenge sasa aje hapa tuongee.

Nataka niongee kidogo.

kwanini mlichagua kupatia ajali pandambili nasii sehemu nyingine??
 
Bado kwa maoni yangu hujui hata unachotaka kusema. your words betrays you. kumbe unajua nimewahi kupewa majukumu makubwa kama kumchunguza naibu katibu mkuu! na bado huelewi kuwa nilikuwa na majukumu makao makuu? angesema haya mwanafunzi wa darasa la saba ningeelewa.
Nimekusoma , nimeelewa unataka kuchukua gloves kimya kimya , so sign out hapa ......
 
Bado kwa maoni yangu hujui hata unachotaka kusema. your words betrays you. kumbe unajua nimewahi kupewa majukumu makubwa kama kumchunguza naibu katibu mkuu! na bado huelewi kuwa nilikuwa na majukumu makao makuu? angesema haya mwanafunzi wa darasa la saba ningeelewa.
Majukumu mengine ulipewa na Mwigulu, kama anavyotoa siri kwenye video hii

Last edited by a moderator:
Bado kwa maoni yangu hujui hata unachotaka kusema. your words betrays you. kumbe unajua nimewahi kupewa majukumu makubwa kama kumchunguza naibu katibu mkuu! na bado huelewi kuwa nilikuwa na majukumu makao makuu? angesema haya mwanafunzi wa darasa la saba ningeelewa.

Duuu kweli kwa haya Ben ana haki ya kuingia mitini kabisa! Unajua una mtisha sana na atakuwa amekimbilia mtaa wa facebook!
Daaa wewe ni kiboko ya Bavicha!
 
Ben hata usije kujibizana na huyu mnafki.
 
Dhambi ya usaliti itawafuna hadi shetani atakapo aibika.Watanzania wanahitaji mabadiliko,nyie mnafitini harakati za keleta mabadiliko.Hamponi hata mtambike.
 
Mkuu Ben Saanane ni namba nyingine ile, weka mbali na wasaliti kama Ludo wasije wakahaibika bure.
Acha kumtautia njia ya kujificha!
ameitwa hapa aje akutane na Tsunami.

Labda kama ni namba ya viatu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom