Atakufa baba yako,Lissu mpango wa Mungu.Bora hata angekufa wakala wa accacia kwa kupitia miga
Ahsante kwa maelekezo mazuri, ila hapa inamlengo hasi, wakiruhusu picha Kama hizi kipindi hiki Cha UCHAGUZI, watu wataedit na kuwavua nguo wagombea kudhalilishanaHio picha ipo mtandaoni kwa muda mrefu mkuu... labda kama ulikua hujaiona, ma CCM yanataka ku paint a picture kuwa Lissu hana lolote kwenye kampeni zake zaidi ya kuongelea majeraha yake, ni tricky tu hio mkuu watu wahamishe upepo....je umemuona mwenyewe LIssu akitembea na hio picha kuwaonyesha majeraha watu kwenye kampeni zake.??.. sijui kwa nini hayo MaCCM hayako sympathetic, especially knowing aliyetenda yote ni mwanachama wao
Ahsante kwa maelekezo mazuri, ila hapa inamlengo hasi, wakiruhusu picha Kama hizi kipindi hiki Cha UCHAGUZI, watu wataedit na kuwavua nguo wagombea kudhalilishana
Malipo ni hapa hapaHuu unyama Bashite na baba yake wataulipa.
Bora angekufa tu wakala wa kupora madini yetu kupitia accaciaMalipo ni hapa hapa
Aliipost mwenyewe acheni kuweeeseka.Mods wafute haraka, najua mnamjua Lisu kwa sheria, atawashughurikia maana haijatolewa na Lisu mwenyewe, so haina kibali
Hii picha sio ya leo wala jana inatambulika na lema alishawahi ipostAhsante kwa maelekezo mazuri, ila hapa inamlengo hasi, wakiruhusu picha Kama hizi kipindi hiki Cha UCHAGUZI, watu wataedit na kuwavua nguo wagombea kudhalilishana
Dunia nzima inaijuaHii picha sio ya leo wala jana inatambulika na lema alishawahi ipost
Karibu SanaBora hata angekufa wakala wa accacia kwa kupitia miga
Pole sana TL, ila usitegemee tunapigia kura majeraha, tunapigia kura sera. Kama ni majeraha wengi wanayo tena wengine ya moyoni na tungeshawachagua.Hakika mkono Mungu umeonekana.. Na Mungu Anakusudio kubwa sana na kiumbe wake huyu kwa watanzania.
- Sambaza picha kadiri uwezavyo kwenye mitandao ya kijamii kushuhudia ukuu wa Mola.View attachment 1530346
Mkuu how old are you?Watu wa CCM wameipataje?