uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,931
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
MPIGIE AU MUULIZE MKEWE
