Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Mmmmh... Demi hujafa hujaumbika rafiki....tukianza kuzungumzia afya za watu hapa kimwili na kiakili.....!!!naomba tuhifadhi maneno
Najua. Ni kwamba mnatumia matatizo aliyoyapata kupata huruma, tumeshamuonea huruma tangu siku ameumia, nyie ndo mnasababisha yote haya, kurudiarudia kupost picha Kama hizi maana yake ni nini? Unaona ni sawa? Kama yupo fit tuelezeni sera nyingine za maana...sio kila siku ugonjwa ugonjwa, mnasabisha tuone hayupo fit. Simkubali Lissu awe Rais wangu lakini pia sijawahi kufurahia matatizo yake kwasababu hata mimi ninayo ya kwangu.
 
Anadhani ameshamaliza maisha ingali haijui kesho yake
😄😄😄😄 mnakuza mambo. Hakuna sehemu nimefurahia matatizo yake. Leteni sera nyingine za ugonjwa tumeshazichoka, hakuna mtu ambae haumwi..tunaumwa tunapata ulemavu baadae maisha yanaendea. Hatumchagui Rais kwasababu tu alipigwa risasi sijui na nani. Ni muda Sasa umefika atushawishi tumchague...badilikeni.
 
Hujafa hujaumbika kuwa na akiba ya maneno.

Unaweza kutoka kwako mzima ukarudishwa huna Miguu au mikono.
Neno gani baya nimesema hapo? Kama mimi kupata ulemavu haitakuwa kwasababu ya maneno yangu niliyosema hapo juu. Pia maisha yataendelea Kama kawaida..hata nikipiga kelele kila mahali haitanirudishia mkono/mguu.
 
Najua. Ni kwamba mnatumia matatizo aliyoyapata kupata huruma, tumeshamuonea huruma tangu siku ameumia, nyie ndo mnasababisha yote haya, kurudiarudia kupost picha Kama hizi maana yake ni nini? Unaona ni sawa? Kama yupo fit tuelezeni sera nyingine za maana...sio kila siku ugonjwa ugonjwa, mnasabisha tuone hayupo fit. Simkubali Lissu awe Rais wangu lakini pia sijawahi kufurahia matatizo yake kwasababu hata mimi ninayo ya kwangu.
Uwe unaleta na Sela za upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua. Ni kwamba mnatumia matatizo aliyoyapata kupata huruma, tumeshamuonea huruma tangu siku ameumia, nyie ndo mnasababisha yote haya, kurudiarudia kupost picha Kama hizi maana yake ni nini? Unaona ni sawa? Kama yupo fit tuelezeni sera nyingine za maana...sio kila siku ugonjwa ugonjwa, mnasabisha tuone hayupo fit. Simkubali Lissu awe Rais wangu lakini pia sijawahi kufurahia matatizo yake kwasababu hata mimi ninayo ya kwangu.
Hawa ni washabiki wake si vizuri kufanya majumuisho kama ndio uhalisia

Jr
 
Sawa mkuu, hata mgombea ninae mshabikia mimi anatukanwa kila siku. Ushabiki na uendelee
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?
Una lako jambo Ndugu Yangu. Huu ni uzima WA DUnia hii.usijivunie.
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?
Imekaa katikati ya miguu ya mama yako.
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?

Unafikiri ubeligiji ni Muhimbili?
 
Neno gani baya nimesema hapo? Kama mimi kupata ulemavu haitakuwa kwasababu ya maneno yangu niliyosema hapo juu. Pia maisha yataendelea Kama kawaida..hata nikipiga kelele kila mahali haitanirudishia mkono/mguu.
Mwanamke Tasa utamjua tu
 
Neno gani baya nimesema hapo? Kama mimi kupata ulemavu haitakuwa kwasababu ya maneno yangu niliyosema hapo juu. Pia maisha yataendelea Kama kawaida..hata nikipiga kelele kila mahali haitanirudishia mkono/mguu.
Hata marehemu Kampten Komba alikuwa na jeuri kama yako akimcheka Lowasa leo tumeshamsahau na Lowasa anapeta.

Chunga sana unayonenea wenzako iwe kwa chuki za kisiasa au vipi
 
Sina chuki na mtu nisie mjua. Wote tutadead.. usinifokee mie
 
Estupido question
You should be ashamed of your self
 
Back
Top Bottom