USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
- Thread starter
- #221
Hakika ni bongo muvi tuRisasi 16 zote zimetolewa nyuma ya goti la kulia, mkono na nyonga.huh!
Mguu wa kushoto anaweza kucheza muziki. Mwanzoni kipindi cha michango tuliambiwa tumbo, miguu na mkono.
Dereva hana tena matatizo ya akili ila yuko naye kama kuhijiwa watahojiwa wote.
Amesema kuwa hakuna upelelezi unaoendelea kwa sababu inabidi mtu wa kwanza kuhojiwa awe yeye na dereva wake.
Akarudia mikwala ya kuwa polisi wa Tanzania hawawezi kumuhoji akiwa Kenya labda ahojiwe na polisi wa Kenya.
Kuna bongo movie inachezwa hapo!