Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,638
Napenda kuwa Malaya...am born that way.Nikufokee wewe malaya
Napenda kuwa Malaya...am born that way.Nikufokee wewe malaya
Itakua anajifanya tu hakuguswa na risasi.Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Wanadanganya hakupigwa risasi mkuu, alimwagiwa maji ya baridi tu,Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763
Hii imekaaje?
Huwa nakufananisha na jingalao.Pole yake,
Kuna watanzania mamia kwa maelfu waliopata ajali za kila namna Ila hawageuzi makovu yao kuwa alama za kuombea kura.
Tumpime kwa uwezo wake Kama kiongozi mzalendo wa nchi hili Jambo ambalo Hana na sio kwa Hali yake aliyonayo baada ya kupitia aliyopitia.