Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Angeenda mwananyamala hosp ungeyaona hayo makovu manake angeshonwa kama gunia la dagaa
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?

Unauliza makovu ya mwanaume mwenzako umetoka kwa Trump?
 
Mkuu kwani mguu unaanzia wapi na kuishia wapi? Wewe ulitaka apige picha akiwa uchi ili uone hayo makovu? Kama una hamu sana ya kuona makovu ya risasi kwa Lissu, Nairobi sio mbali nenda kamwone na ukifika sema unaomba kuona makovu ya risasi. Kama huna nauli omba msaada utachangiwa. Hii mada ungesubiri kidogo mwaka uanze kukomaa kuliko kuileta mapema namna hii.[/QUOTE

Si ndiyo maana anaambiwa angebaki 2017 haaaaaaaaaaaaaaaaa! huku 2018 sijui kafwata nini
 
Unadhani utaweza kutudanganya??? Wee acha mcezo wa editing
 
Vipi umeambiwa police hawajafanya uchunguz?

Mkuu Misuli hilo ni jibu ama ni swali? Sio kwamba tu hawajafanya na wala hawatafanya. Hii ndio Tanzania mpya, taasisi zinafanya kazi nje ya weledi kufurahisha mamlaka ya uteuzi.
 
Uwezi tibiwa hospital ile ukabaki na makovu. Hospital ile ina huduma ya kuondoa makovu yotote na unapona kawaida.
 
Mkuu huhitaji kuishi kama mpiga ramli.Tumeambiwa lisu alipigwa Risasi 38 na 8 ndo zilizompata.Zingine mikononi na zingine miguuni.Tulitegemea ktk picha tuone maeneo aliyopigwa na hakukuwa na shida ya kuficha coz ni accessible. Ni swali lenye logic kabisa,huhitaj kukarr kila kitu hata yesu aliwaonesha wale matomaso makovu ndo wakaamini.Kingine Mbowe anadai Bado Risasi moja haijatolewa,hiyo risasi haijatolewa wapi?Kumbuka tukio limetokea mwezi wa Tisa huko now ni miez minne kasoro,ni kweli inawezekana risasi kukaa mda wote huu?

..nijibu swali langu kwanza.

..mbona hamkumkagua JK eneo alilofanyiwa upasuaji?

..hata Mzee Mkapa alifanyiwa upasuaji Switzeland. Mbona hamuulizi mshono ulipo?

..Spika Ndugai ametibiwa muda mrefu sana India, lakini tukiwauliza anaumwa ugonjwa gani hakuna anayefahamu.

..jambo la msingi ni kwamba TL alipigwa risasi. Madaktari wa serekali Dodoma Hospital wamethibitisha. Jeshi la Polisi wamethibitisha.

..Binafsi sielewi ubishi unaoleta ni wa kitu gani haswa. Nini zaidi unachotaka kujua?Kitasaidia nini? Kitabadilisha kitu gani zaidi?
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?
Ivi nawewe unaishi kwenye dunia hii hii ambayo tunaishi wengine?

Ivi nawewe una akili hizi hizi Kama tulizopewa na Mungu au wewe akili zako ni aina tofauti?

Nauliza tu
Samahani Kama nimekukwaza mkuu
 
Sishangai maana hata mwenyekiti wako mnafanana mawazo
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?
Basi sawa tuseme hajapigwa risasi kama utakavyo wewe.
 
Kwani Michael jackson alikuwa na Makovu?

Jifikirishe mwenyewe jombaa
 
Back
Top Bottom