Kuna taarifa za katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa serkal kuwa risasi nyingi zilimpata miguu .
Sasa katika picha zinazozunguka midandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi
Mkuu, itoshe tu kumjibu huyo USSR kuwa Lissu hakushambuliwa kwa risasi na pale Nairobi yuko mapumziko ya mwaka mpya.Wenye akili wako busy Na kutafuta pesa, wewe makovu yanakusaidia nini?
Kwahiyo unataka kusema kwamba Lissu hakupigwa risasi?Kuna taarifa za katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa serkal kuwa risasi nyingi zilimpata miguu .
Sasa katika picha zinazozunguka midandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi au Luna kakomedy kiana
Wenye akili wako busy Na kutafuta pesa, wewe makovu yanakusaidia nini?