Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?

Unataka kusema nini?
 
Mbona hata vibao vya DAB havikuacha makovu lakini hiyo haiondoi fact kwamba Jajji alikula mkong'oto?
 
Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.

Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
View attachment 665763

Hii imekaaje?
Mkuu unauliza makovu ya risasi baada ya kuulizia kwanini amevaa dera
 
Acha upoyoyo, kwa hiyo ulitaka asipone?

Upone salama Kamanda Lissu! Tz still needs u more than ever!
 
Kovu la risasi sio sawa na Kovi la Panga la nitakugecha Mura.
 
Ili swali kwa watu wa upinzani kwao ni chungu, Ila tabia hii ya maswali ya hivi wanayo sana vijana wa Chadema
Mkuu hapa sioni uchungu wowote wa hili swali kwa upinzani. Hili swali ni la kijinga, kabla ya kuuliza hili swali angeuliza kwanza ni sehemu gani ya miguu iliyopigwa risasi. Kama Lissu alipigwa risasi sehemu za juu ya magoti kwenye hiyo picha utaonaje kovu? Hata mkono wake wa kushoto ulijeruhiwa pia kwa risasi lakini ni vigumu kwenye picha kama hiyo kuona kovu. Kama muuliza swali ana hamu sana ya kuona hayo makovu, aende kumtembelea Lissu huko hospitali na aombe kuona hayo makovu.
 
Hata kama yasionekane hata ngavana zamagali palezamani zilikua hazionekan
 
Mkuu hapa sioni uchungu wowote wa hili swali kwa upinzani. Hili swali ni la kijinga, kabla ya kuuliza hili swali angeuliza kwanza ni sehemu gani ya miguu iliyopigwa risasi. Kama Lissu alipigwa risasi sehemu za juu ya magoti kwenye hiyo picha utaonaje kovu? Hata mkono wake wa kushoto ulijeruhiwa pia kwa risasi lakini ni vigumu kwenye picha kama hiyo kuona kovu. Kama muuliza swali ana hamu sana ya kuona hayo makovu, aende kumtembelea Lissu huko hospitali na aombe kuona hayo makovu.
Kwa mwonekano kuna haja gani yakuendelea kukaa wodini? na kama ni lazima Kwanini asirudishwe mwananyamala hospital?
 
Kwa mwonekano kuna haja gani yakuendelea kukaa wodini? na kama ni lazima Kwanini asirudishwe mwananyamala hospital?
Mkuu mimi na wewe.siyo madaktari, hatuwezi kujua kwa muonekano tu, kuna mambo mengine yanahitaji utaalamu zaidi ya kuona kwa macho. Kuna watu wengine ukiwakuta hospitali walivyo utadhani wamekwenda kuwaona wagonjwa, kumbe wao ndiyo wagonjwa.
 
mods mbona kama mnapendelea hivi
huu Uzi ulipaswa kufutwa pia...
maana unaelement za kiuchochezi
au uchochezi nimpka kuwasema wakoliomije tu
 
LISU HAKUPIGWA RISASI NI USANIII TU WA MBOWE NA CHADEMA.
Pamoja na usanii wa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma wakishirikiana na wale wa Nairobi Kenya, spika wa bunge na naibu waziri wa afya. Mbowe na CHADEMA peke yao wasingeweza kufanya huo usanii!!
 
Back
Top Bottom