Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,630
- 2,738
Kuna watu wangesikia Tundu Lissu amepigwa risasi kafariki Dunia wangefurahi sana.
Mungu Baba wa Mbinguni wasamehe hao wenye mawazo potofu kama huyu mleta mada.
Muimarishe Mh Tundu Lissu apate kupona na kurudia afya yake aendelee na majukumu yake.
Roho zote za visasi na husda zipate kushindwa Ameen.