MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 942
Bila shaka vigogo ama wafanyakazi wa hii benki wapo humu ndani. ATM zenu zina shida gani leo wapendwa zaidi ya sehemu tatu hazitoi hela...issuer hayupo umezuiwa...sijui nini...kama kuna uharibifu au matengenezo muwe mnasema mapema hata kama ni breakdown ya muda tu...halafu kwa mfano unakuwa ushajaza kiasi halafu mashine isitoe ile hela ndio ishapotea au? Sim banking nayo haifanyi kazi duh...