Wizi wa matela CRDB

Wizi wa matela CRDB

Mhhh kuhusu huyo Aika wa CRDB Azikiwe, mdada anapiga kazi ile mbaya yuko super faster & smart. Napata kigugumizi, kwanza hausiki na malipo taslimu ataiba Cheque au Bank Balance?

Wapo wawili pale...huyo aika unayemsema anadeal na check na nadhani ni meneja wa kitengo -customer service na amekuwepo pale nadhani ni kuanzia mwaka huu au since last year, she is tall, white/chocolate and cute....ni chapa kazi sana. Hata ukiongea naye anavyokuelekeza unafurahi, she real knows what she is supposed to do.

Yupo mwingine, ni teller, small built ana vichunusi hivi...huyu ndiye ninayemsema....akiwa kwenye teller na unapesa nyingi...you better not go to her.
 
Jamani mimi nlipigwa laki tatu FNB peninsula branch pale oysterbay,nlishtuka baadae koz siku zihesabia pale mezani,ni mshkaji kijana,namtamani kinoma noma,yaani!
 
Hello wanaJf nipo hapa kusikiliza kilio chenu naombeni list ya matawi CRDB yanaongoza kwa uwizi kwa wateja,Ili tukaifanyie kazi ntawashukuru kwa kunipa feedback.

crdb mbeya mjini karibia na benki ya posta uhindini
 
Mimi nusura niibiwe KCB Mlimani City, tena waliniambia ningetoka tu ingekuwa ndio basi. Iaonekana mchezo huu unafanywa ma tellers wengi.
 
Huyo alikuwa anaitwa mary. Umenikumbusha, alinilamba 50 nikaenda kwa maneja hakunipa ushirikiano, alikuwa na rafik yake pale sokon musoma, na mi nilikuwa mle sokon. Nilitangaza vita jion akaileta hiyo pesa.
 
Ungepeleka malalamiko kwa meneja wa tawi. Wana CCTV na kuna rekodi ya pesa zilizotangulia. Ni rahisi kutatua tatizo.
 
tatizo vimishahara ni vidogo then wanataka maisha ya juu, hasa hawa wadada wezi kinoma na nyodo zimewajaa, akipewa laki 6 kwa mwezi anaona kamaliza mwenyewe, pumbaav!!!!!
 
Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..

Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu

Duu mkuu kazi ni kazi kama hao bank tellers sijui loan officers ni "TAKATAKA" mimi sasa na ishu zangu za umachinga nitaitwaje ??
 
Duu mkuu kazi ni kazi kama hao bank tellers sijui loan officers ni "TAKATAKA" mimi sasa na ishu zangu za umachinga nitaitwaje ??

Wanatakiwa wazijue ethics za kazi zao.. Hao watu wanauzi sana ni kwavile watu hawajui tu. Sikia, kuna siku nilikuwa nakunywa bia na ndugu mmoja hivi mfanyakazi wa bank flani, yule jamaa kuna michezo anaifanya kwenye account za watu electronically ndio chanzo cha mimi kuwadharau hawa watu (japo najua sio wote wenye tabia hizo)..

Alafu sasa iba ufanye kitu cha maana.. Wao wanakata panga buku buku kwenye account kadhaa then wanaenda kula bia na kuonga.. BTW, hata office attendant au mmachinga kama anafanya kazi bila kuumiza wengine kwangu he/she earns big respect kuliko mvaa tai anayewaibia wengine..
 
Mkuu naelewa hao jamaa wanakera kweli ,ala kumbe wamachinga tunaheshimika zaidi yao ,basi pumbavu zao
 
J3 nitaweka picha ya mwizi wangu yaani yule kijana wa CRDB Mbwzi mwisho na yule dada wa waterfront ili hata wakihamishwa jamii ijihadhari nao.

Muweke tumjue mana mbez mwisho me mteja wao
 
Jamani mimi nlipigwa laki tatu FNB peninsula branch pale oysterbay,nlishtuka baadae koz siku zihesabia pale mezani,ni mshkaji kijana,namtamani kinoma noma,yaani!

Nilikuwa nawaamini sana hawa ila naona ndio walewale. FNB nilifanya international transfer hela ili chukua zaidi ya 2 weeks haidisplay kwa my tz account. Basi nilifika kuwaona wakadai hela hyo hawajaipata. Nilipowauliza bank nilipozitoa wakanipatia details zote kwamba hela ilishahama the next day muamala wa kuhamisha ulipofanyika coz ilikuwa express.
Niliwatumia email yenye details zote nikawaambia kesho yake ningekuja kuwaona waeleze walipopeleka hela yangu. Yani baada ya ile email haiku chukua hata saa moja wakanitumia notification kwamba hela imeingia. Sasa sijui walizibana za nini au ndio wangeziiba sijui. Tz bank zimekuwa majanga
 
Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao

Tena huyo unagonga bila ya maandiliz kama unataka vile. Mamaeee
 
Mateller wa CRDB ni wezi tu,cha msingi ukiweka pesa kaa chonjo,akianza story ongea naye huku unakomalia macho mikono yake tu,usimuangalie usoni.
2.zile machine kama huna uhakikia mwambie arudie kuhesabu.
3.ukifika mpe kwanza karatasi ya kuwekea pesa,halafu ndio unampa pesa,usimpe vyote kwa pamoja.kwani ukimpatia kwanza anaanza kwa kucheki account yako,ukishampa then anapost pesa yako,na akimaliza hakikia balance yako.
----
ilishawahi kutokea bureau dechange moja pale Dar,jengo la IPS (Askari Monument) nimempatia binti laki 4,akaniambia 10 elf imepungua,nikagoma,nikamwambia fungua machine ya kuhesabia,akajibaraguza nilipomkomalia akaifungua,nikaona Elfu 10 imenasa ndani ya machine,full Aibu.
Tellers wengine huwa wanadondosha chini pesa ,so kamera ziko mgongoni mwao hazion,ila ukikomalia macho mikono yake na hata akidondosha chini,mkomalie hadi kwa supervisor ,wakiingia ktk chumba chake lazima watakuta pesa za ziada,na kwa kawaida huwa hawataki zengwe so faster anarekebisha ili usimjazie watu akafukuzwa job
 
Benk wanaboa kweli yani..si ya nmb wala crdb. Upuuz waufanyao ipo cku yao wanazan office ni za baba zao
 
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.

Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.

Ushazulumiwa wewe mi nilijua umeanzisha timbwili ukalipwa

Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..

Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu

Yaaaap hata crdb arusha nao kuna mdada nlimwacha pale mjamzito alikuwa janja sana alikuwa na ujanja huo huo

Kama ulikuwa na uhakika na pesa zako huna haja ya kuona aibu kulianzisha. Hata ukishindwa ujumbe utakuwa umefika na hawezi kufanya hivyo kwa mwingine.

Hivi bado tu hiyo tabia ipo, zamani crdb musoma alikuwepo dada mmoja mnene hivi,bonge alikua mwizi sana kwa staili hiyo, unampa pesa gafla ten au 20 hazipo, watu wakalalamika akahamishiwa songea huko kusini, alikua mwizi sana,sijui kama bado anafanya kazi ni kitambo kidogo. Nikajua huo wizi umeisha kumbe bado upo?

Yaani mfanyakazi mwizi anahamishiwa sehemu nyingine; mbaya zaidi Songea (kusini mwa Tanzania) aendelee kuiba.

Sio ivo tuu hata mishahara ya watumishi inaibiwa unaweza kujikuta uko kwenye paylaw lakini acount yako k
Haisomi

hakuna bank yenye sifa mbaya kama crdb sijui wanatumia vigezo gani kuajili wafanyakazi wao kupata mishahara midogo sio sababu ya kuiba nyingine ni nbc ila watu wao wa it ndio wanaiba zaidi

Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao

M aisha magumj jamani
 
Wapo wawili pale...huyo aika unayemsema anadeal na check na nadhani ni meneja wa kitengo -customer service na amekuwepo pale nadhani ni kuanzia mwaka huu au since last year, she is tall, white/chocolate and cute....ni chapa kazi sana. Hata ukiongea naye anavyokuelekeza unafurahi, she real knows what she is supposed to do.

Yupo mwingine, ni teller, small built ana vichunusi hivi...huyu ndiye ninayemsema....akiwa kwenye teller na unapesa nyingi...you better not go to her.
Hadi majina mnawajua
 
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.

Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Ww nawe fala kichizi alafu unasema "what is fifty" ilitakiwa unakomaa nae pale pale mpaka branch manager asogee muanze kuhesabu upya, alaa umeniudhi sana kwa uzembe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom