Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Mimi nimedhulumiwa kwa mtindo huo na muuza supu, we acha tu inaumaa!
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me. Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.

Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..
Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu
Sipingi unachosema lakini uwasilishaji wako unaweza ukawa unawadhalilisha wahusika.
Ishanitokea kama mara mbili teller moja hivi pale Tanga CRDBBB
Kuna siku nikamuwekea mtego ikabdi aniombe msamaha
Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..
Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu
Tatizo CRDB wanaajiri wachagga
Maisha mzee.Hadhalilishwi mtu mkuu... Sasa unaibia mtu 10,000 ambayo hujui kaipataje kama si njaa kali ni nini?? Mbona waizi wa CCM wanatukanwa sana humu hao tellers kwanini tuwavumilie na hiyo tabia yao mbovu??
Teh teh teh usikumbushie mkuu watakuja kunishambulia hapa..