BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Sio ivo tuu hata mishahara ya watumishi inaibiwa unaweza kujikuta uko kwenye paylaw lakini acount yako k
Haisomi
Wanaiba hata ukiwa kwenye "paylaw"
Sio ivo tuu hata mishahara ya watumishi inaibiwa unaweza kujikuta uko kwenye paylaw lakini acount yako k
Haisomi
Nilisikia aliendekeza hako kamchezo huko akafukuzwa
hahaha
Sehem kama hii watu kama nyinyi hamkosekani! eti nyekundu tano fix ili na wew uonekane una hela kuchafua kazi za watu hapo unapo sema wew wapo vizur zaid ya unavyo vifikiria wew!
Teh teh teh best mbona umefurahi hivyo
Kuna siku nlkw nadeposit 750,000 pale crdb premier. Kuna mdada m1 mweupe akazichambua then akaweka katika mashine ya kuhesabia halafu akabonyesha 74 katika vile vitufe ili ikifika 740,000 ngoma isimame. Alifanya hivyo haraka mno huku akijichekelesha kwangu. Basi baada ya mashine kumaliza kuhesabu akasema bado 10 moja ziko 740,000. nilimjia juu nikamwambia mimi nishafanya kazi ya uteller naomba pesa irudi au niende kwa meneja yule pale. Akajichelesha tena akajirudia kihesabu mara hii zikatimia. Aliona aibu sana nikasepa zangu.
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
ulevi noma, ndo maana pombe mimi huwaga sinywi... Ko mkuu traffic ndo tayar Asha. Firw. A hapo... DuuuhHuo mtego sitakuwekea hapo kazini kwako benki. Nakuwekea huku mtaani hadi uhame mtaa.
Hujanijua wewe. Nilimhamisha traffic mmoja mnyakyusa pale Lushoto. Nilimwambia nitamwekea mtego akajua ni mtego wa hela. Alipewa bia za ofa asubuhi alijikuta mtaroni hana nguo na huku nyuma kuna mafuta mafuta meupe kama makamasi. Hakusubiri uhamisho...barua ya uhamisho ilimfuata nyuma....
Hello wanaJf nipo hapa kusikiliza kilio chenu naombeni list ya matawi CRDB yanaongoza kwa uwizi kwa wateja,Ili tukaifanyie kazi ntawashukuru kwa kunipa feedback.