Wizi wa matela CRDB

Wizi wa matela CRDB

Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
Kwa hiyo ulinunua nyapu kwa laki mbili....au sijakuelewa vizuri mkuu. Ila ulicheza kiume..
 
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.

Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Kuna yule wa Kariakoo uhuru, ukizubaa anachanganya na kumi feki halafu anaitoboa kabla hata hujaichunguza..
 
Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
hahahahhaha dhambi huzaa dhambi
 
CRDB MLIMANI CITY chunguzeni wafanyakazi wenu....hasa kwa wateja wanaotoa pesa nyingi.
 
Kapo kengine pale Azikiwe Premier kanaitwa Haika...kadogo dogo hivi chocolate colour. Kaogope kama una ukoma, labda kama una pesa kidogo.....kama nyingi lazima kakupige
Kale katoto ka kichaga hatariiii hahahaha
 
Mhhh kuhusu huyo Aika wa CRDB Azikiwe, mdada anapiga kazi ile mbaya yuko super faster & smart. Napata kigugumizi, kwanza hausiki na malipo taslimu ataiba Cheque au Bank Balance?
Acha kutetea upuuzi unajua anayezungumziwa ni yupi......(vichunusi)..unganisha dots
 
Kuna mmoja alitaka kunidhurumu 10 yangu, aisee nilimchenjia mpka akairudisha
 
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.

Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Ajira mwendo kasi baba anataka awe na vog na majumba for one year.... Aibu sana
 
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.

Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
okay!
 
Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao
alaaah... ulikula uchi wa laki 2 kwa mara moja tu!!! au ilikua bando ya wiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom