Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Haya nenda nadakue ni nani alizikwapua Pesa za Gadafi kisha akamroga Balozi hadi akajiua mwenyewe na Ushahidi ukapotea?? Nenda kamuulize Boss wako Membe alifanya fanyaje hadi Leo hii kashifa haikufika Bungeni? au kwa kuwa Membe ni Rafiki wa Mengi ndiyo maana ngoma iliminywa kimya kimya? Ebu kapige Udaku hapo tuone.

Kama mpaka sasa unawaza katika kurogana, basi Tanzania kazi inayo! Yaani karne hii unaleta mambo ya kuamini katika kurogana? Hebu hamisha akili yako toka hapo ilipo ili uende sawa na wakati. Kwanini unaniletea habari za Membe mkuu? Mbona sina link naye?
Ova
 
Haswa, hatujui kama alisilimishwa baada ya kumchukua binti Kikwete.

Albert alisilimu siku nyingi hata kabla hajamuoa huyo Mke wake Pia mahusiano Yao yalianza kabla Jk hajawa Rais , hivyo walipendana tokea kipindi
 
Kama mpaka sasa unawaza katika kurogana, basi Tanzania kazi inayo! Yaani karne hii unaleta mambo ya kuamini katika kurogana? Hebu hamisha akili yako toka hapo ilipo ili uende sawa na wakati. Kwanini unaniletea habari za Membe mkuu? Mbona sina link naye?
Ova
Japo umegoma kukubali link ya Membe lakini Membe ni Boss wako na hayo ndiyo baadhi ya Madhambi yake ,sasa Kama unaweza anzia hapo Udakuzi.
 
watu wanazungumza mambo wakati hata anologue hkuna .....naona wewe hapo unatoka kapa tu
elewa watu huwa wanazungumziwa tuuu

Hivyo vitoto vidogo sana kwangu na vingi vikiniona vinaniamkia. Niulize wazee wao.
 
Japo umegoma kukubali link ya Membe lakini Membe ni Boss wako na hayo ndiyo baadhi ya Madhambi yake ,sasa Kama unaweza anzia hapo Udakuzi.

Duh! Ni bosi wangu kwenye kampuni gani mkuu? Maana nijue, coz yaonekana unanijua kuliko mwenyewe ninavyojijua.
Ova
 
Aliwahi muoa sophia mang'enya.mtoto wa waziri mang'enya .alimuumiza roho sister wangu mshenzi huyu.Na Albert Kama unasoma hapa lile Gari Enzi zile ukatoa kwa Bi (dev) na kumpa sada shaha mwanamke aliyezaa na KINJE.Dada angu huku akifua shule mshenzi opportunist wewe.NA usinipigie kwa sababu unanijui haswa mie nani .wewe na omar kimbau
Wewe ni Bingwa Mtetezi wa kukariri? Yaani umekariri mpaka umepitiliza, hivi unazijua sababu za Sofia kuachika?alimuumiza roho sister yupi? Uwe Unakisoma ulichokiandika kabla haujakileta hapa jukwaani. Kwanza Marehemu Mang'enya hakuwa Waziri bali alikuwa Ni Kamanda wa JWTZ akiwa na cheo cha Maj General .
 
Duh! Ni bosi wangu kwenye kampuni gani mkuu? Maana nijue, coz yaonekana unanijua kuliko mwenyewe ninavyojijua.
Ova

Membe ni Boss wako kwenye ile Bank yake ya Siri alikoyaficha yale Matrioni ya Marehemu Gadafi ambayo anaota kuwa huenda yakanunua njia yote kuelekea ikulu, ebu piga Udakuzi hapo watu wajue handaki alikoficha pesa Membe.
 
Uko sahihi, kalelewa tu na Mzee Marwa. Sio mtoto wake kabisa.
Ova

Mkuu unajua mzee Marwa alikuwa ni mzee ambaye alikuwa na huruma sana kalea watoto wengi ambao sio wake,nakumbuka pia alikuwa akiishi na Mzee mmoja emoro akiitwa mzee Hassan,na huyu mtu alikula raha kama askari mwenye cheo na alikuwa akienda nao popote aendepo Mzee marwa alikuwa ni mweupe pee hata watoto zake ni weupe namkumbuka mtoto wake nmmoja wa mwisho mwisho anaitwa James Marwa alikuwa anafanya CRDB sijui siku hizi yupo wapi.Watoto wa Marwa hawajificha na walikuwa wanapenda sana kutembea kwa group.
 
Acha hizo ! Usiishi Kwa kukariri ! Kwani wewe huyo unayedai ni baba yako ni Mzazi wako kweli? Pengine si baba yako , mwenye Siri ya Mtoto ni mama pekee na ndiye anayepanga tarehe ya kuzaliwa alikudanganya unakariri hicho hicho, Tambua Marehemu Mzee Marwa alikuwa na wake wengi na Watoto wengi sana , Huo Uzushi wako kaa nao mwenyewe.

Ni kweli Albert ni mtoto wa Maj Gen Marwa.(Kwa kuasiliwa) Primary School kasoma Kitete Tabora miaka ya 80's. Ana kaka yake anaitwa Johnson Marwa. Yupo Tanzania Parking System (Wale wanaokatisha tickets za parking).

Na ni kweli Mzee Marwa ana watoto wengi sana. Inawezekana alioa wake wengi. Wazee wa zamani walipenda kuwa na familia kubwa ukizingatia Jeshi lilikuwa linatoa kila kitu mpaka magari ya kuwapeleka na kuwarudisha shule.
 
Hadi Sasa jeshi linahudumia ila naturally tu unakuta maafisa wa Sasa wa Juu hawana familia kubwa ...kitu kimoja ni kuwa makamanda Kama maj general Marwa ,gen Ernest Mwita Kiaro ,gen david Musuguri ..walikuwa na familia Kama kijiji ....lakini waliridhika na walichopata kuliko VIONGOZI wa Leo ambao wana familia ndogo lakini wana tamaa na matumizi maradufu ..especially Serikalini
 
Membe ni Boss wako kwenye ile Bank yake ya Siri alikoyaficha yale Matrioni ya Marehemu Gadafi ambayo anaota kuwa huenda yakanunua njia yote kuelekea ikulu, ebu piga Udakuzi hapo watu wajue handaki alikoficha pesa Membe.

Majambazi nashangaa wanahangaika na maskini Wakati Membe anazunguka na madola na mengine kafukia
 
Wewe ni Bingwa Mtetezi wa kukariri? Yaani umekariri mpaka umepitiliza, hivi unazijua sababu za Sofia kuachika?alimuumiza roho sister yupi? Uwe Unakisoma ulichokiandika kabla haujakileta hapa jukwaani. Kwanza Marehemu Mang'enya hakuwa Waziri bali alikuwa Ni Kamanda wa JWTZ akiwa na cheo cha Maj General .

Mkuu wa tawi la uhandisi na ununuzi ( mipango - logistics )
 
Huyu Jamaa hata JK ilimuuma Sana kumuoa binti yake ..kwa kuwa mkuu ni wa Mjini sana sema Tu alishamtia Mimba ..angefanyaje ..Nadhani hamjawahi kuona harusi Rasmi ya binti Huyu ...muungwana nafikiri Hii FEDHEHA aliitegemea na hakutaka .na binti wa watu yuko sooo humble ..hakua Mdada wa mjini ..she was so innocent ...
Huyu kwanza Alimuoa binti wa Maj Gen ( late ) Mangenya ....of course ukatibu ilitokana na kuwa mtoto adopted wa Maj Gen Marwa....Maj gen Mangenya alimpa Sana line Za jeshini ..." Mkwe wake " .....
Wakati mama Zakia Kawa finance ..,basi ..akawa anatoka na binti yake ambaye Sasa kaolewa na mtoto wa general mmoja wa zamani ......
Baada tu ya Mkuu Muungwana kupata line ...ya uteuzi akaanza kujisogeza kwa salama ...

Anyway Nadhani this is one of the controversial figures ...in the country ....kwa wale wa mjini zamani ..mnakumbuka group la Kina marehemu Msomali , Mau Wambura ,Ipiana Malecela ...and others alikuwa akijichanganya nao Sana ..ikampa umaarufu..pia wa haraka . The Guy is Rich !!

Tahadhari kwa Dk Slaa, Lowassa na wasaka urais wengine:
Inaelekea huyu jamaa amekuwa na mtindo wa kuingia familia zenye manufaa ya kiuchumi kwake KUPITIA kwa kuwa bwana wa mabinti zao.

Mabinti wa wataka urais wakae sawa, jamaa ni nouma!
 
Hii siredi ina mambo mazito mnoooo duh...kweli mkuu ana sababu ya kutamani kwenda kuchunga mbuzi Msoga,ukuu wa kaya katika mazingira haya ni hedeki tu!
 
watu wanazungumza mambo wakati hata anologue hkuna .....naona wewe hapo unatoka kapa tu
elewa watu huwa wanazungumziwa tuuu

Wapo watu wamefanya mengi mabaya lakini hawakujadiliwa Bungeni, mfano Ufirisi wa NBC bank , Pesa za Marehemu Gadafi, Tren troika airportt hadi town nk
 
Majuzi alikuja Rais wa Nakheel .kampuni kubwa zaidi ya Real estate .hawa ndio wajenzi wa ile the Palm na The world
Kwa wale waliofika dubai wanaujua mradi ule.
Kuna kabalozi mdogo pale Dubai mjenga alipewa jukumu la kutafuta wawekezaji kuja kuwekeza pale Tanganyika packers na kigamboni new city.
Huyu mjenga alifanikiwa kumshawishi Rais wa Nakheel kuja Tanzania .
Na jamaa badala ya kumuunganisha na Nssf na nhc akampa huyu albert na kumjulisha ati ni muwekezaki mkubwa wa real estate Tanzania.
Asichojua balozi wetu kuwa waraabu wa UAE ni real business people na hawa jamaa wanasomeshwa USA tu.
Wanajua kabisa bogus deals.
Jamaa katembezwa huku ns kule kaaga anasema anaenda kutafuta pesa za kuwekeza !! Ndio kimoja kakitoa
Nashindwa kuelewa huyu balozi mngeja ilikuwa amuweke mbele huyu Albert ....
 
Wakati Ukimuulizia Marwa Ni Nani Kwanza Na Sisi Pia Tuambie Miraji Na Salama Kikwete Ni Watoto Wa Nani Na Pesa Walizoziweka Australia Wamezipata Wapi Na Pia Utuambie Yule Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Wa 1995 Kisha 2005 Ni Yupi? Albert Marwa Anapatikana Kwa Wancholi Na Wachanka Tarime Nenda Wakagugawane Minyama Yako Hiyo Kama Butcher!

IKULU ni taasisi kama imegeuka kuwa pango la walanguzi ni nani wa kuisemea? Ni mimi,wewe na wengine,uingozi ni dhamana kama Rais hakemei wala kuchukua hatua kwenye uchafu huu wa escrow kwa maana ya haraka ni sehemu ya uchafua huu,wakati wa kashfa ya EPA hakuchukua hatua zaid ya kusema waliochukua pesa warudishe,Mungu wetu ni mwaminifu hakuna amtakiaye mwenzake mabaya ila kwa hili Kikwete asipowajibika kwa watz atawajibika kwa Mungu,na Mungu atajibu hili kwa watz waliokosa dawa ilihali watu wakigawana 321bn

Mkuu, hata ID yako unaikosea!

Wakuu Kama haya ni ya kweli kwa nn ccm isimuonye

CCM iliyopo zama hizi ndio hiyo. Hii nchi chini ya hii CCM ya sasa ni heri mkoloni Mreno.
Imejaa majambazi na wauza unga. Ndio maana ISIS wao wameamua kuibuka na dola la kiislam kupinga udhalimu wa familia za viongozi wa nchi za kiarabu.Hii ni mifano inayofanana na watawala na familia za nchi za kifalme,wanajilimbikizia mabilioni ya fedha kwa biashara zisizoeleweka.

Watanzania wakiamua kupigania nchi yao kwa nguvu wataanbiwa ni nchi za magharibi zimechochea wakati wezi ni watanzania na marafiki zao wakichina,kiarabu na Kihindi.
 
Back
Top Bottom