Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Una uhakika kuwa huyu ni ndugu wa Nalaila Kiula! Mwacheni mzee wa Watu alikuwa mwadilifu lakini alitolewa Kafar n Wariob ,
Huyu anafikiri hatukumbuki Ndugu yake akifungwa kwa RUSHWA ...imagine akahongwa viti senti vidogo ...na Vibasi ..sijui vikiitwa BNNN ..Viki ply Mwenge - Posta ...na mkewe akapigwa safari ya Kuosha masho Japan ....all that at expense of DAR ES SALAAM ROAD UPGRADE MAINTANCE PROGRAM ....YA MID 90s....
Mwenzake Eng Mlingwa ...mjanja Siku hizi ni mkulima mkubwa tu wa miwa ....yeye ni mtumishi wa kwa mama rwaks

Acha awadanganye wenzake nao wakanyee DEBE Segerea Kama Mzee wao
 
Hebu tuondolee povu lako unaandika pumba tupu nenda Muhimbili ukaone watu wanaokufa kabla ya muda wao halafu wewe unataka tuchekecheke na majambazi?

Mimi nikisia Jambazi Andrew Chenge amekufa tena nitafurahi akifa kwa kukatwa kichwa kwakweli nitafanya sherehe kubwa mtaani na nitawaalika watu waje kula na kunywa na tufunguwe shampeni jambazi sugu limeuwa na mzoga wake ukatupwe mto Rufiji mamba wapate chakula.

Ok ndugu yangu I'm sorry kama nimekukosea kwa kuongea pumba(according to you) ila sijatetea mafisadi wala majambazi ila nimemwambia mjumbe hapo juu kwamba siyo vema kuingiza maradhi ya watu kwenye siasa kwa kufurahia kuumwa kwao(in this case rais Kikwete) lakini haraka nimewekwa kwenye kundi la kuwatetea mafisadi(labda kwa kutoeleweka vizuri), mimi sitetei mafisadi niko pamoja nanyi katika kupambana na ufisadi tena nikiwa mstari wa mbele kabisa lakini siwezi kushangilia kuumwa au kufa kwa mtu(hii ni imani yangu) kama nimekukosea unisamehe ndugu yangu
 
Una uhakika kuwa huyu ni ndugu wa Nalaila Kiula! Mwacheni mzee wa Watu alikuwa mwadilifu lakini alitolewa Kafar n Wariob ,

HAPANA mkuu, jamaa ALIHISI hivyo but Nalaila siyo ndugu yangu na kama angekuwa ndugu yangu nisingekataa kuwa ndugu yangu maana ufisadi wake hauwezi kunichafua mimi ambaye napingana na ufisadi
 


unnamed%2B(2).jpg
 
Back
Top Bottom