Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Hii nchi ukioa mtoto wa rais na wewe unakuwa rais.tazama huyu ni mkwe tu wa rais.mtoto wa rais je anapiga mabulungutu mazito kiasi gani

Uongozi imekuwa ni issue ya kifamilia zaidi watanzania tusirudie tena haya makosa. Mpk wakwe wameenda kupiga picha na ugeni mkubwa kbs wa Taifa-shame on us!
 
naninibaraka

You have spoken the truth:
albert pocketed a lot of money from Chinese companies as an agent; but all these deals belong to the big boy, Jakayain.
in only one deal, the pipeline he pocketed usd 25 million, kept in the Middle East

waTanzania, kalagabaho!
 
Last edited by a moderator:
We jemeni, katika hizo picha Albert Marwa ndiyo yupi hasa ??

Naomba ufafanuzi ma macho.
 
Duh kumbe, ngoja nipeleke posa kwa yule aliepata division four kipindi kile,. Sijui bado yupo


Hahahaaaaaa mkuu utauweza mziki wa contender wako? huyu wa kiremba....joke.
unnamed%2B(2).jpg
 
Wana JF wakati wa mjadala wa escrow mbunge wa ubungo mh John Mnyika alimtaja Albert Marwa kama mnufaika wa ufisadi wa ubadhirifu wa mabilioni ya walipa kodi kwenye scandal ya Tegeta Escrow.

Pia katika mitandao ya kijamii albert anahusishwa na uhusiano wa karibu na familia ya Kikwete. Hii inaonyesha wazi kbs familia ya rais kwa kutumia nafasi ya rais ndio inayotumika kufanya ubadhirifu serikalin kwa kumhusisha Albert Marwa pamoja na Ridhwani Kikwete,.................................

Mungu ibariki Tanzania

Mkwe wa Rais

Nchi imekosa mwelekeo,ubadhirifu huu wa tegeta escrow ni cancer itakayoua wote waliohusika na uharamia huu na itaanza na Kikwete,watz wapoteze maisha kwa kukosa dawa ilihali rais anashiriki kwenye ubadhirifu huu,ni nani wa kuisemea nchi hii iliyobaki kuwa shamba la bibi?
Cancer hii imeanza na Kikwete sasa itakula kila aliyehusika na dhambi hii

Mkwe wa mkuu wa kaya, Mkewe ni share holder wa simba trust

Yooote hayo munayochokonoa ndo sababu suala hili limekuwa gumu. Mkuu wa nchi alihusika na alichota kiasi chake na wengine waliachiwa kwa lugha hizo za kwenu angalieni wenyewe.

Utawala huu kwa miaka 10 umeshuhudia ubadhilifu wa kiwango cha juu. Watu binafsi wamepewa pesa za serikali na kuzitumia kwa miradi binafsi. Kila aliyekuwa karibu na Rais, au Ridhwani, au mtoto wake alichotewa, wakati mwingine hata toka TRA. TRA hawajawahi kusema aliyechota pesa toka akaunti yao ni nani?

Sasa hawa akina chenge walikaa kimya ndo maana hawakutaka hata kujiuzuru maana walijua kuna mambo yatajitokeza. Pinda amesamehewa kwa mtindo huo baada ya kuona hakuwa na nguvu za kuzuia. Watu wameunda makampuni, amjengo yamejengwa kwa kasi sana kipindi hiki, zooote hizo ni pesa za serikali.

Sasa balaa inayokuja ni kama Lowasa atafanikiwa maana anayajua yote haya. Naye ni mchwa lakini jamaa wamemtia kibano na kumuonyesha kwamba hana maana wakati hata wao wako hivyo.

Mbinu za kuwabana zitakuja tu maana tutaanzia kwenye kodi ya assets zao tuone kama kweli ni matokeo ya biashara halali.

Pesa hizi zilichukuliwa kwa amri ya mkuu wa nchi, ndo maana haielezwi cash ya mil.75 ilipelekwa kwa nani.
 
Aliokotwa vitani uganda na kukulia ktk familia ya mzee marwa aliyekuwa mkuu wa majeshi miaka ya nyuma.hata hilo jina la marwa sio lake halalh.
 
Albert Marwa ni deal Maker................hata kwenye Kilimo Kwanza amekula hela ya kutosha kwenye kuagiza matractor......
 
Amezaa na salama Kikwete.
Yeye na jamaa mwingine aitwaye shaban gurumo ndiyo walichota za escrow za kumpeleka kwa mkuu wa kata.
Kucha zangu na meno miye.
 

Mkuu HNIC huwa unawapatia kweli hapo teammadalali namuona Omary Mjenga balozi mdogo Dubai na Balozi wa Zimbabwe old DCI hapo ni mwendo wa dili kwenda front
 
Back
Top Bottom