Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,590
- 23,952
Ni yupi sasa katika picha?
Getstart, katika hiyo picha kuna wafuatao;
[*=center]Wa kwanza kushoto ni Khalfan Kikwete.
[*=center]Wa pili ni Albert Marwa.
[*=center]Wa tatu ni Ridhiwani Kikwete.
[*=center]Wa nne ni Balozi wa China, Mh. LU Youqing
[*=center]Wa tano ni mke wa Balozi huyo.
[*=center]Wa sita ni Khalifa Kikwete
[*=center]Wa mwisho kulia ni Salum Kiba.
Kwa wasiomfahamu Salum Kiba ni huyu hapa chini akipata ushauri wa First Lady;
Salum Kiba ni kamanda wa UVCCM.