Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Je ni yule rafiki wa Adam Malima aliyemuingiza chaka Mzee Idd Simba dili la Sukari hadi akautema uwaziri?
He was born christian and changed to Islamic faith.
He is not Hubert anymore..mwenye jina lake jipya atuambie maana utaoaje kwa mkuu dini tofauti au mtoto wa mkuu aliingia ukristo?
 
...kwakuongezea khs Albert Marwa jamaa ni kweli mkwe wa JK na wamezaa watoto..ila ndoa ilikataliwa siku nyingi..ila jamaa mbishi kakomaa hadi kakubalika ...kuna kipindi alikua anakaa pale Richmond Tower upanga ..pale migombani ni jirani na jk ..jamaa ana apartment zake....
 
naninibaraka

ikulu imekuwa kama ghetto kwa familia ya jk na washkaji zao
 
Last edited by a moderator:
jamaa kajipenyeza hadi kaoa bnti wa mkulu ili dili zake zizidi songa mbele, mbna familia za rais waliyopita hawakuwa hivi......

Huyu Jamaa hata JK ilimuuma Sana kumuoa binti yake ..kwa kuwa mkuu ni wa Mjini sana sema Tu alishamtia Mimba ..angefanyaje ..Nadhani hamjawahi kuona harusi Rasmi ya binti Huyu ...muungwana nafikiri Hii FEDHEHA aliitegemea na hakutaka .na binti wa watu yuko sooo humble ..hakua Mdada wa mjini ..she was so innocent ...
Huyu kwanza Alimuoa binti wa Maj Gen ( late ) Mangenya ....of course ukatibu ilitokana na kuwa mtoto adopted wa Maj Gen Marwa....Maj gen Mangenya alimpa Sana line Za jeshini ..." Mkwe wake " .....
Wakati mama Zakia Kawa finance ..,basi ..akawa anatoka na binti yake ambaye Sasa kaolewa na mtoto wa general mmoja wa zamani ......
Baada tu ya Mkuu Muungwana kupata line ...ya uteuzi akaanza kujisogeza kwa salama ...

Anyway Nadhani this is one of the controversial figures ...in the country ....kwa wale wa mjini zamani ..mnakumbuka group la Kina marehemu Msomali , Mau Wambura ,Ipiana Malecela ...and others alikuwa akijichanganya nao Sana ..ikampa umaarufu..pia wa haraka . The Guy is Rich !!
 
naninibaraka

Huyu Ndio kamfundisha Riz kupiga deal ....miaka ya mwanzo ya urais Riz hakua Mpiga deal Zaidi ya kusubirii pay cheque Za dingi ..deal home ..au deal ndogo ndogo Za size yake Za kitaaa..and was so humble too like his sister .
 
Last edited by a moderator:
Well said Phillemon Mikael
Walikuwa na Ipyana kampuni ya ZMMS-Zanzibar Mainland Military Services/Shops wakapiga sana Duty free shops
 
Mkuu Phillemon Mikael, huyu msomali ndio yule aliyekuwa "sukari ya warembo" wakati ule,ikasemekana ali-byebye na nanihii aliyoimba mwanaFA?au nimechanganya madesa?
 
Last edited by a moderator:
Duh kumbe, ngoja nipeleke posa kwa yule aliepata division four kipindi kile,. Sijui bado yupo

Umechelewa Elli , mpaka posa ijadiliwe,vikao vya harusi vikae, na ndoa ifanyike, jamaa atakuwa keshatoka jengo jeupe.

Na mbaya zaidi kwa haya madudu ayafanyayo na hatujui anayekuja atakuwa na tabia zipi waweza kukuta jamaa na wengi wa wanafamilia wakawa Segerea ukabaki wewe mkwe mdogo (wa mwisho) na kupelekea kazi yako kupeleka chai Segerea kila siku kwa wakwe.

Sasa kula wale wengine kibarua cha chai upate wewe!
 
Huyu Jamaa hata JK ilimuuma Sana kumuoa binti yake ..kwa kuwa mkuu ni wa Mjini sana sema Tu alishamtia Mimba ..angefanyaje ..Nadhani hamjawahi kuona harusi Rasmi ya binti Huyu ...muungwana nafikiri Hii FEDHEHA aliitegemea na hakutaka .na binti wa watu yuko sooo humble ..hakua Mdada wa mjini ..she was so innocent ...
Huyu kwanza Alimuoa binti wa Maj Gen ( late ) Mangenya ....of course ukatibu ilitokana na kuwa mtoto adopted wa Maj Gen Marwa....Maj gen Mangenya alimpa Sana line Za jeshini ..." Mkwe wake " .....
Wakati mama Zakia Kawa finance ..,basi ..akawa anatoka na binti yake ambaye Sasa kaolewa na mtoto wa general mmoja wa zamani ......
Baada tu ya Mkuu Muungwana kupata line ...ya uteuzi akaanza kujisogeza kwa salama ...

Anyway Nadhani this is one of the controversial figures ...in the country ....kwa wale wa mjini zamani ..mnakumbuka group la Kina marehemu Msomali , Mau Wambura ,Ipiana Malecela ...and others alikuwa akijichanganya nao Sana ..ikampa umaarufu..pia wa haraka . The Guy is Rich !!

Okey, sasa taratibu panya wote tutawapata na hukumu ya haki itawashukia.

Kwahiyo kama huyu Tapeli alioa mtoto wa General Stewart Mang'enya na General Mangenya anaitana shemeji na kina Bomani wameoa dada yake na pia dada yake mwingine General Mang'enya kaolewa na Dr Mlimuka wa ILO........
Naendelea kucconect dots.

Kim Kimbangambanga yupo wapi kwa sasa?
 
Phillemon Mikael
jamaa anajua kujichomeka aise, nia yake ilikywa kuingia kwa jk familia na kaingia.
acha jk aondoke tuone whats next kwa hao mafisadi
 
ahh lazima atakuwa kakimbiaaaa
 
Kim kimbangambanga yupo na ni Adui mkubwa wa Arbaty Marwa na Uzi huu ndiye kauleta hapa JF . Hizo tetesi tu na hizi tetesi zinasikika kuwa Akina Mbowe, dr slaa,viongozi wa umma,vyombo vya dola nk , hizo Tetesi zimekuwa nyingi sana ,hivi hakuna Mtu wa kuzithibitisha hizo tetesi.
 
Matola unamzungumzi Kim yule tapeli wa mapenzi aliyemuingiza chaka Dr Mwele?

Mwacheni Kim kabisa hata Kama anawaingiza Mademu Chaka ..haimdhuru maskini ...Kama ni Huyo MWele au Primi ...it's him kwa faida ya kiono Chake labda na hela Mbuzi ...sio Huyo Jambazi wa mapenzi ...Gold digger Albert ...

Na JK hatamuacha lazima a fix Kama Saddam alivyomfix Afisa wa Jeshi alietumia access kwake kumdanganya kimapenzi binti yake
 
jamaa anajua kujichomeka aise, nia yake ilikywa kuingia kwa jk familia na kaingia.
acha jk aondoke tuone whats next kwa hao mafisadi

Ushaona JK kapiga naye hata picha ...labda sio HADHARANI ....he just hate him passionately ...unajuwa wababa especially ambaye unajuwa mji alafu Msanii ajipachike kwa binti yako inavyouma ..kwanza hata marafiki zako wanakutania...aaaah umepatikana
 
Mkuu,huyu msomali ndio yule aliyekuwa "sukari ya warembo" wakati ule,ikasemekana ali-byebye na nanihii aliyoimba mwanaFA?au nimechanganya madesa?

Abdul ....yeees ....,lakini hatuna uhakika Sana ...unajuwa vidole ..kuna DEMU mmoja alikuwa anapiga pale Mtaa wa Mindu ...alikuwaga miss TZ 3 ..ile ya kwanza ya Kina Aina Maeda .....Yule DEMU anadunda
 
Back
Top Bottom