Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Ushaona JK kapiga naye hata picha ...labda sio HADHARANI ....he just hate him passionately ...unajuwa wababa especially ambaye unajuwa mji alafu Msanii ajipachike kwa binti yako inavyouma ..kwanza hata marafiki zako wanakutania...aaaah umepatikana

hapo kweli nimekupata mkuu....puzzle imeunganishwa, ila naona rizmoko yuko close na shemeji shemeji
 
Kwanza albert marwa si mtanzania.historia inaonyesha aliokotwa na bri gen marwa uganda kwenye vita vya kagera na kumtunza kama mtoto wa hiari.halafu leo anatusumbua na pesa zetu

Ni Mtanzania ni rightful son wa Maj Gen Marwa ....Sasa aende wapi ..?? Utanzania au kutokuwa haumuondolei Tabia yake ya slope
 
Abdul ....yeees ....,lakini hatuna uhakika Sana ...unajuwa vidole ..kuna DEMU mmoja alikuwa anapiga pale Mtaa wa Mindu ...alikuwaga miss TZ 3 ..ile ya kwanza ya Kina Aina Maeda .....Yule DEMU anadunda
ebwana ehh abdul msomali alikuwa msenegal yule mkuu syo....
 
Matola unamzungumzi Kim yule tapeli wa mapenzi aliyemuingiza chaka Dr Mwele?

Yap yeye huyo Kim Kimbangambanga.

Kim kimbangambanga yupo na ni Adui mkubwa wa Arbaty Marwa na Uzi huu ndiye kauleta hapa JF . Hizo tetesi tu na hizi tetesi zinasikika kuwa Akina Mbowe, dr slaa,viongozi wa umma,vyombo vya dola nk , hizo Tetesi zimekuwa nyingi sana ,hivi hakuna Mtu wa kuzithibitisha hizo tetesi.
Kaa na tetesi zako post zako hapa JF zinakupambanuwa who u are!.......

Mwacheni Kim kabisa hata Kama anawaingiza Mademu Chaka ..haimdhuru maskini ...Kama ni Huyo MWele au Primi ...it's him kwa faida ya kiono Chake labda na hela Mbuzi ...sio Huyo Jambazi wa mapenzi ...Gold digger Albert ...
Na JK hatamuacha lazima a fix Kama Saddam alivyomfix Afisa wa Jeshi alietumia access kwake kumdanganya kimapenzi binti yake
Humjui Kim unasikia tu hadithi zake hawa ni watu hawafai kabisa sawa na IRIS

mkuu kim simpati au kim huyu aliyeleta uzi huu

JF be the first to know, just stay in this thread utashangaa mengi zaidi, kuna makuwadi tunawasubili walete pua zao.
 
Last edited by a moderator:
Mrangi....yupo karibu na Shem wake kwakuwa Ndie kamuingiza kwenye Deal Chafu ....Riz miaka 8 iliyopita Mbona alikuwa mtoto mzuri tu ..akapiga deal Za kawaida Za watoto wa kishua ...deal home ...na kusikilizia mikato ya dingi
 
rizmoko tulisoma naye forodhani st joseph alinizidi darasa moja, alikuwa boya tu....wakati ule mwalimu mkuu wa forodhani alikuwa mwalmu mbuya....
rizmoko alikuwa boyaaaa tu.....kuna wakati nili bahatika kukutana na mwl mmoha wa forodhan anaitwa mwlm manyama anashangaa dogo kawa fisadi hehehehehe
 
Yap yeye huyo Kim Kimbangambanga.

Kaa na tetesi zako post zako hapa JF zinakupambanuwa who u are!.......

Humjui Kim unasikia tu hadithi zake hawa ni watu hawafai kabisa sawa na IRIS

JF be the first to know, just stay in this thread utashangaa mengi zaidi, kuna makuwadi tunawasubili walete pua zao.

Namjuwa ...deal zake haziumizi watu ...not of much public interest ...Kama mtu anapiga deal Moja cash a73 b ...ambayo wangekuwa MSD ...tungezuia vifo na maumivu makubwa wanayopata WAGONJWA kote nchini especially wake wa kansa ....wanaoshindia panadol pale ocean road ...na kujifia mmoja mmoja ....sad .
 
Hiyo group ya Albert, Ipyana, Mao, Abdu Msomali ilikua haikosi coco beach kwa Alphonce miaka ya tisini.
 
Wote waliofanya ubadhirifu wa escrow watakufa kama ambavyo watz wamepoteza maisha kwa kukosa dawa,ataanza jk na saratani then watafuata wengine,tusubir mda utafika na vyote wataviacha hapa duniani,dhambi ya watz haitawaacha kamwe
 
Mrangi....yupo karibu na Shem wake kwakuwa Ndie kamuingiza kwenye Deal Chafu ....Riz miaka 8 iliyopita Mbona alikuwa mtoto mzuri tu ..akapiga deal Za kawaida Za watoto wa kishua ...deal home ...na kusikilizia mikato ya dingi

mkuu huyo abdul msomali namkumbuka alikuwa anakujaga sehemu mikocheni ....alikuwa clise na bro mmja hivi anaitwa george....
naskia abdul alikuwa ni msenegal aise kitambooo sana
 
mkuu huyo abdul msomali namkumbuka alikuwa anakujaga sehemu mikocheni ....alikuwa clise na bro mmja hivi anaitwa george....
naskia abdul alikuwa ni msenegal aise kitambooo sana
Alikuwa na Pharmacy ya Day &Night pale namanga
Demu mkali
Sports car convertible
 
Back
Top Bottom