hakuna serikali iliyoharibu nchi ya Tanzania kama awamu hii ya nne, sijui kama raisi ajae ataweza kuwashughulikia hawa!
omg!!!!!!!!!!!!!!!!!!naninibaraka
you have spoken the truth:
Albert pocketed a lot of money from chinese companies as an agent; but all these deals belong to the big boy, jakayain.
In only one deal, the pipeline he pocketed usd 25 million, kept in the middle east
watanzania, kalagabaho!
Pia sijui ataanzia wapi kuisuka upya nchi hii. Wanaotaka urais yawapasa kuangalia na haya wajipime kama wana ubavu wa kuinua uchumi na maisha ya watu. Ikiwa unajiona hutaweza ni bora ukawaachia wengine.hakuna serikali iliyoharibu nchi ya Tanzania kama awamu hii ya nne, sijui kama raisi ajae ataweza kuwashughulikia hawa!
Mtaalamu wa deal zote chafu ...kuanzia unga,Madini FEKI hadi Sasa amescrew
Jamani mbona kama mnang'ang'aniza tu na familia ya rais iwemo kwenye hii scandal??? Waliomo si mliwasikia kina kilaini na wengine?
Kuhusu Albert marwa ni mtoto wa mkuu wa majeshi wa zamani Mzee Mwita Marwa,alimuona salama kikwete dadake riz wanaezaliwa kwa mama mmoja,mama yao alifariki siku nyingi,ili kumuoa salama na kwa taarifa tu Albert ni muislam siku nyingi alibadili dini kabla ya kumuoa salama,walijuana na salama akiwa tayari muislam tena swala tano tofauti na kina riz,
Tulikuwa tunawangoja kwa hamu mtoe vichwa vyenu tu tuwakatilie mbali.
Subiri nizame maktaba kwanza.