naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Wana JF wakati wa mjadala wa escrow mbunge wa ubungo mh John Mnyika alimtaja Albert Marwa kama mnufaika wa ufisadi wa ubadhirifu wa mabilioni ya walipa kodi kwenye scandal ya Tegeta Escrow.
Pia katika mitandao ya kijamii albert anahusishwa na uhusiano wa karibu na familia ya Kikwete. Hii inaonyesha wazi kbs familia ya rais kwa kutumia nafasi ya rais ndio inayotumika kufanya ubadhirifu serikalin kwa kumhusisha Albert Marwa pamoja na Ridhwani Kikwete,ni wazi pia kuwa kwa kuwa hawajakanusha taarifa hizi ni kweli wamesheriki kuangamiza uchumi wa taifa letu changa.
Upotezu wa tsh 321bn za walipa kodi wakati huo unawachangisha watz masikini hela za kujenga maabara ni dhambi kubwa sn, Mh rais Kikwete kokote ulipo hutakwepa dhambi hii kwa kuwa ni mnufaika wa ubadhirifu huu,watz wanapoteza maisha kwa kukosa dawa ilihali serikali yako ikijishughulisha na ubadhirifu wa mali za watz, bado ninaamini kabla hujamaliza mda wako Mungu atawalipa watz masikini wa taifa hili.
Mungu ibariki Tanzania