Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,293
- 6,901
Kaka huyo sio mtoto wa Mzee Marwa ili kalelewa na mzee Marwa,huyu jamaa hapo nyuma alikuwa mwanzilishi wa radio ya kiisalamu,kwa Marwa hakuna Mwislamu,kama mna bisha kuna mtoto wake mzee Marwa alikuwa anafanya kazi CRDB sijui kama baado yupo na watoto wa Mzee Marwa wote wananfanana na hakuna mweusi tii kama huyo mkwe
Uko sahihi, kalelewa tu na Mzee Marwa. Sio mtoto wake kabisa.
Ova