plz yeriko tutaftie majina hayo ya stanbic
Sure Yeriko inabidi afanye kazi yake. Atusaidie majina. Mie ningekuwa nafanya kazi kule hata nungeiba japo kwa kuyapiga picha kama mdau mmija alifanya kule kwa Mkimbozi
plz yeriko tutaftie majina hayo ya stanbic
......Hii photo itakuwa imepigwa US, kuna jamaa mmoja katika hii photo ni classmate.
Amezaa na salama Kikwete.
Yeye na jamaa mwingine aitwaye shaban gurumo ndiyo walichota za escrow za kumpeleka kwa mkuu wa kata.
Kucha zangu na meno miye.
Wewe Albert ni mtoto alilelewa tu wala jenerali hakuwa babaake.The dude wanted to Marry my sissy.yaani alitangaza harusi na Sophia mang'enya kanisani na wakati hapo hapo anawachumba kibao .Sasa ndoa na Sophia mang'enya imeishia wapi Jesus .Sophia mtoto wa waziri mang'enya Yule mama .Dah dunianiJamani mbona kama mnang'ang'aniza tu na familia ya rais iwemo kwenye hii scandal??? Waliomo si mliwasikia kina kilaini na wengine?
Kuhusu Albert marwa ni mtoto wa mkuu wa majeshi wa zamani Mzee Mwita Marwa,alimuona salama kikwete dadake riz wanaezaliwa kwa mama mmoja,mama yao alifariki siku nyingi,ili kumuoa salama na kwa taarifa tu Albert ni muislam siku nyingi alibadili dini kabla ya kumuoa salama,walijuana na salama akiwa tayari muislam tena swala tano tofauti na kina riz,
![]()
Huyu SI MTANZANIA wa kulaziwa wala wa wazazi...lakini mtanzania PLASTIC wa kupewa.
inasemekana ni yatima hana baba wala mama ila aliokotwa huko Uganda na mmoja wa wakuu wa majeshi na kuletwa Tanzania
Nadhani alioa kama mara 3 hizi na mabinti aliooa ni watoto wa wakubwa ndio maana watu wanadai ameoa kwa ajili ya line
Shule aliyooenda haijuilikani
JKT haijulikani kama pia alikwenda
Ndio ofisi zake zilikuwa mtaa wa samora pale juu ya SAPNA na zamani nadhani India walikuwa wanatoa viza pale...just opposite SALAMANDA
connection yake ilikuwa ni kufanya biashara ya ulanguzi wa mafuta kwenda Rwanda, Congo na burundi miaka ya 90 na lile dula la duty free la jeshi (jina limentoka).
alikuwa anaingiza mafuta na kudai yanenda cross country tax free kumbe baadae wanayarudisha Dar kuuza kwa bei ya juu zaidi
Ofisi yake alikuwepo Ippy Malecela, Omari Kimbau, MAO Mwaura (sie tulikuwa tunamjua kama MAO Flex), Abdul Msomali (japo marehem alikuwa na pesa zaidi kwa madili yake ya unga kule Zambia na akina marehem AKASHA ) Chale Mtawali (enzi zile chale dada yake alikuwa mkurugenzi Immigration), Kinje na yule KIM KIMBANGAMBAGA (kiboko ya wanawake wa mjini kama kina Dr MWELE MALECELA, MANGE KIMAMBI etc), na watoto wengine wa wakubwa.
Salama sijui kamtoa wapi lakini kwa wanaomjua huyo dada unaambiwa hata haieleweki alimkubali vipi huyu jamaaa
Ndoa yake haikukubalika na Professa kwa sababu ya historia yake ya kuwalaghai watoto wengine wa wakubwa aliokuwa nao. Jamaa alikuwa kama MARIO fulani kwanza kama sikosei alioa GENERAL STWEWART MANGENYA ambaye ana uhusiano wa kifamilia na akina BOMANI (old money)...Kama sijakosea alikuwa anatoka na RITA MLAKI wa enzi hizo alipokuwa na saloon (VASANDRA) pale juu SAMORA.
Huyu inasemekana alisilimu ili kupata ukaribu zaidi na mama salma, na pia ndiye moja ya waanzilishi wa redio mmoja ya kiislam hapa Dar
Connections zake china ndio zinatisha zaidi kwa sababu anatajwa kuhusika kwenye kashfa za UPANUZI WA BANDARI, BOMBA LA GESI LA MTWARA ambazo amekula si chini ya dola milioni 300 peke yake na bila kusahau kashfa zingine kama hii ya escrow
Pamoja na yote haya huyu jamaa HAJAKUBALIKA kwenye familia na wala kwa watu walio karibu na familia....kwa kuongeza tuu ni kuwa yule Myemen ambaye simpendi wa homeshopping centre (SALAAH WA GUANGZJOU) anakubalika zaidi kwenye familia
Watu wa kitengo wa Usalama nao hawawezi kumfanya kitu kwa sababu ya hizo connections zake (lakini sina hakika kama huwa anarudi kwao UGANDA) au inawezekana ikawa familia yake ni ya KINYARWANDA , hilo hatulijui lakini ndio hivyo
Watu wake wa karibu wanasema kuwa huyu jamaa ni mtu poa lakini ARROGANT kwa sababu kazungukwa na wajinga wajinga wengi ambao wanamtia ujinga so in essence he's not that smart kwenye kuficha huo mkono wake kwenye madili
Pia wafanyakazi wa wizara ya fedha pia hawampeni kwa sababu safari za kuserikali huwa anaongozana nao kutokana na instructions toka JUU kuwa wakifika Beijing kupiga hayo madili na EXIM BANK lazima LABERT awepo japo shule na elimu yake ndogo.
Mawaziri nao wanamgopa sana kwa sababu ya connection yake na familia ya JK.
Miradi yake mingi ni hiyo ya kuunganisha unganisha ya real estate....na inaendana na hao washauri wake ambao nao pia ni watu wa kunganisha unganisha tuuu
rough estimate ni kuwa huyu Albert ana Net worth $500 million.
Philemeon Michael anamjua sana huyu jamaa.
Huyu jamaa mimi simchukii naomwona kama vile akina Juma Pinto, lakini huyu badala ya blah blah ameunganisha damu...hivyo ukinuliza simchukii bali naona ni mtu aliyepata nafasi na kaitumia vilivyo. Ningepata mimi ningekuwa ni BILIONEA na sio hivyo vijisenti na nisingeandikwa humu JF (hii ni another weakness ya kuwa na washauri wabovu wenye njaa, wasio na influence wala network)
Huyu jamaaa amekuwa kama mbuyu wenzake wanaendela na maisha ya hapa na pale huyu yeye anaongea na rais wa china, na kama u mario bas huyu kafuzu kwa sababu ukiangalia wenzake akina OMARI KIMBAU, IDDI JANGUO, JUMA PINTO, CHALE MUTAWALI, na wengineo yeye huyu aliamua kutumia ile formula ya FREEMAN MBOWE kuoa alipomwoa mtoto wa GAVANA EDWIN MTEI.
Dont hate the playa, hate the game
Watu mnachimba!!
Kamwoa nani?
Hii habari mbona msemaji wao hapa JF, FaizaFoxy, hajajitokeza kukanusha? Au anajifanya hamjui Albert Marwa! Hivi huyu FaizaFoxy ni nani hasa...ni taasisi, mafia au ni jini? Kwa mbali nayakumbuka yale majini aliyotuonya marehemu Sheikh Yahya Hussein kwamba yatatoa ulinzi!Kamuoa Salama. Alianza kama utani, kapiga mzigo hadi tumbo likajibu, binti kuulizwa akamtaja mshikaji, basi ndo akasogezewa mzigo. Sasa anapiga deal tu kupitia nyumba nyeupe.
Ova
Duh kumbe, ngoja nipeleke posa kwa yule aliepata division four kipindi kile,. Sijui bado yupo
Unaweza kufanya yako sawa, ila mambo yamezidi kuwa magumu. Leo nimeenda bank moja exchange rate ya usd leo ni 1805, unategemea nini? Inabidi tuwatoe hawa jamaa.
Wewe Albert ni mtoto alilelewa tu wala jenerali hakuwa babaake.The dude wanted to Marry my sissy.yaani alitangaza harusi na Sophia mang'enya kanisani na wakati hapo hapo anawachumba kibao .Sasa ndoa na Sophia mang'enya imeishia wapi Jesus .Sophia mtoto wa waziri mang'enya Yule mama .Dah duniani
Wawepo wapi? Siku hizi wote ni watoto wakishua wako states wanakula bata. Usalama umebakia mikononi mwetu na Mungu wetu.HNIC kesho nakupa reputation kubwa kabisa. Kifaa natumia kwa sasa sipati features zote. You nailed it. Usalama wa Taifa hili.mpooooooo?
Huyu alikuwa Mkristo akibadili dini Ndio analamba Hiyo deal ya kupikea pesa Za kuanzisha radio ...toka amebadili dini haizidi miaka 10Kaka huyo sio mtoto wa Mzee Marwa ili kalelewa na mzee Marwa,huyu jamaa hapo nyuma alikuwa mwanzilishi wa radio ya kiisalamu,kwa Marwa hakuna Mwislamu,kama mna bisha kuna mtoto wake mzee Marwa alikuwa anafanya kazi CRDB sijui kama baado yupo na watoto wa Mzee Marwa wote wananfanana na hakuna mweusi tii kama huyo mkwe
Nimeelewa why Ikulu ilibidi wakijibu kuhusu yule mwarabu wa home shopping center
Umenikumbusha Chale Mtawali na Enzi Za Fosters Pub ...pale nyuma ya ITV .....hakianani ...hataki tena kusikia mke au Mademu wa watu
Bahati beach kwa Meneja Marehemu Othman ..Ndio eneo la Tukio
Huo mtaa noma.
Unaweza kukaa hivi mara unamuona Lowassa anafuatilia hela zake mwenyewe kwa wahindi.
Au Benzi la Ikulu linamshusha Kiaro maskani.
Au mara tu Mengi katoka baru karuka ukuta Silver Oak kamkimbia mke wake akiwa nyumba ndogo.
Mara Makame Rashid kafuata za kununua kwa mafungu Las Vegas.
Mara kidogo Andrew "Ganesh" katokea kaja kutafsiri vitabu vya ki Buda kwenda kiswahili.
Mara Spartan karudi poa anaoga bia.
Imekuwaje tena? Nimerudi nimekuta viberiti vimepanda juu utasema Lower East Side.
Naye walimfanya kama Baba yake Mange Kimambi?