Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Mengi na ile SKUVI yake VIPi ??? Maana pesa ilikuja kwa waziri Mkuu Msuya ..kwa Ajili ya kusaidia uwezeshaji vijana ...anapewa azisimamie

Chezea Mengi wewe.... Ni Mpigaji mzuri lakini akizidiwa a Ujanja na Mabingwa hukimbilia kwenye vyombo vyake vya Habari kisha Kuisaka Huruma ya Wananchi na kuwaaminisha kuwa anaonewa kumbe huwa anawaza kupiga kwa njia za kisayansi.
 
Kwanza hata Sukita ni Kati ya waliouwa NBC

Wambie Sendeka, kafulila na Zito wakachunguze huko japo boss wao Mengi lazima atawazuia wasichunguze NBC maana ni yeye aliyeiua NBC bank baada ya kukopa mahela kibao kisha akala njama nyaraka na kumbukumbu Zote zikachomwa moto na kupoteza Ushahidi.
 
Wewe una Chuki za wazi wazi kama si Wivu unakusumbua Pia, Tambua kuwa kila Mtu mzima ana Historia yake, japo zipo historia za kweli na za kuzusha kama hizi , Hata wewe mwenyewe watu wakikuzushia historia sidhani kama utakubali, hao Usalama wa Taifa Kama wanapokea Amri yako basi Wambie wakamchunguze aliyemuua Balozi wa Libya kisha akachukuchia Mapesa ya Marehemu Gadafi, wamembie wakawachunguze Sendeka,Kafulila na Zito walichukua tshs ngapi kwa Mengi na Mkono?

hiyo issue ya kuumuua balozi wa libya hadi hela za
gadafi inabidi utuwekee uzi wake hapa jf...utujuze
 
Watu wengi wamekariri Uvumi na sasa kuna baadhi wanaamini kuwa hizi ni Story za kweli, Tambueni kuwa Pesa za escrow zitavumishiwa watu wengi ndiyo maana hata akina Mbowe wamo na kadri siku zinavyokwenda wengi watazushiwa, haya maisha ya kuishi kwa Tetesi yataenda hadi lini?
 
hiyo issue ya kuumuua balozi wa libya hadi hela za
gadafi inabidi utuwekee uzi wake hapa jf...utujuze

Weka utaona Wana JF watakavyofunguka ingawa Membe anezificha kwenye Mahandaki na Uvunguni kwake zingine kampa Mwandosya,Dialo,Sita,na Kigwangwala ili wamsaidie kununua njia ya kuelekea ikulu.
 
Weka utaona Wana JF watakavyofunguka ingawa Membe anezificha kwenye Mahandaki na Uvunguni kwake zingine kampa Mwandosya,Dialo,Sita,na Kigwangwala ili wamsaidie kununua njia ya kuelekea ikulu.
mkuu huo uzi wako nausubiria kwa hamu sana....
 
Huyo wa kwanza kushoto ni KIWADINYO

hapo wamepiga picha na RAIS WA CHINA XI JINPIN na MKEWE PENG LIYUAN

CHINA na JK.jpg CHINA na JK.jpg [/QU
OTE]

Mkuu ni kweli Ridhiwani na albert Marwa hata na JK walipiga picha na Rais wa China na sio Waziri Mkuu
 
mkuu huo uzi wako nausubiria kwa hamu sana....

Nchi Hii hakuna aliye Msafi kiasi cha Kumnyooshea mwenzake Kidole, Huko kwenye Upinzani Wenyeviti na makatibu hupuputisha ruzuku na huwa haifiki Matawini,hata Pesa za IPTL wengi wanashukiwa kuomba Rushwa kwa Singa singa, huku wengine wakivuta Pesa kwa Mengi na Mkono ili wawasaidie kumng'oa Mhongo ili Mengi apate Udalali wa Vitalu, Watumishi wengi wa Umma wanaishi Kinyume na Vipato vyao Harisi, ikitokea Ufanyike Uchunguzi wa Mali za watumishi wa Umma nina hakika 90% watakutwa na Hatia maana wengi wamepata Mali kwa njia zile zile za kupiga na Rushwa. Nchi hii imejaa vioja na havitakaa viishe karibuni kwani wenye Dhamana ya kurekebisha Tabia nao ni wapigaji.
 
WAMEKULA YA MBUZI WAMEOTA MAPEMBE...wapi Lizabon, wapi Thatha,wapi Laki si pesa,wapi Simiyu Yetu,Wapi Msalani,Wapi MwanaDiwani,wapi,Faizer Fox,wapi SUMU, wapi buku saba wengine wa Lumumba.sisi huku tunatomboka ngoma ya kutoka Kisangani na Lubumbashi na Kinshansa.
 
Mkuu umenichekesha sana... how on earth nitaweza kumtambua mkurya over others?...
Hawabadiliki mkuu, hata ungevalisha mavazi gani. Jionee mwenyewe tofauti yake na hao wengine kwenye picha. Teh teh...
 
Hawabadiliki mkuu, hata ungevalisha mavazi gani. Jionee mwenyewe tofauti yake na hao wengine kwenye picha. Teh teh...

Tofauti ipi?!Acha hizoo , kwani wewe ni Mungu mpaka uwatoe kasoro binadamu wengine ! Wewe mwenyewe haujioni hapooo.... au unadanganywa na Mkorogo.?
 
attachment.php




Huyu SI MTANZANIA wa kulaziwa wala wa wazazi...lakini mtanzania PLASTIC wa kupewa.

inasemekana ni yatima hana baba wala mama ila aliokotwa huko Uganda na mmoja wa wakuu wa majeshi na kuletwa Tanzania

Nadhani alioa kama mara 3 hizi na mabinti aliooa ni watoto wa wakubwa ndio maana watu wanadai ameoa kwa ajili ya line

Shule aliyooenda haijuilikani

JKT haijulikani kama pia alikwenda

Ndio ofisi zake zilikuwa mtaa wa samora pale juu ya SAPNA na zamani nadhani India walikuwa wanatoa viza pale...just opposite SALAMANDA

connection yake ilikuwa ni kufanya biashara ya ulanguzi wa mafuta kwenda Rwanda, Congo na burundi miaka ya 90 na lile dula la duty free la jeshi (jina limentoka).

alikuwa anaingiza mafuta na kudai yanenda cross country tax free kumbe baadae wanayarudisha Dar kuuza kwa bei ya juu zaidi

Ofisi yake alikuwepo Ippy Malecela, Omari Kimbau, MAO Mwaura (sie tulikuwa tunamjua kama MAO Flex), Abdul Msomali (japo marehem alikuwa na pesa zaidi kwa madili yake ya unga kule Zambia na akina marehem AKASHA ) Chale Mtawali (enzi zile chale dada yake alikuwa mkurugenzi Immigration), Kinje na yule KIM KIMBANGAMBAGA (kiboko ya wanawake wa mjini kama kina Dr MWELE MALECELA, MANGE KIMAMBI etc), na watoto wengine wa wakubwa.

Salama sijui kamtoa wapi lakini kwa wanaomjua huyo dada unaambiwa hata haieleweki alimkubali vipi huyu jamaaa

Ndoa yake haikukubalika na Professa kwa sababu ya historia yake ya kuwalaghai watoto wengine wa wakubwa aliokuwa nao. Jamaa alikuwa kama MARIO fulani kwanza kama sikosei alioa GENERAL STWEWART MANGENYA ambaye ana uhusiano wa kifamilia na akina BOMANI (old money)...Kama sijakosea alikuwa anatoka na RITA MLAKI wa enzi hizo alipokuwa na saloon (VASANDRA) pale juu SAMORA.



Huyu inasemekana alisilimu ili kupata ukaribu zaidi na mama salma, na pia ndiye moja ya waanzilishi wa redio mmoja ya kiislam hapa Dar

Connections zake china ndio zinatisha zaidi kwa sababu anatajwa kuhusika kwenye kashfa za UPANUZI WA BANDARI, BOMBA LA GESI LA MTWARA ambazo amekula si chini ya dola milioni 300 peke yake na bila kusahau kashfa zingine kama hii ya escrow

Pamoja na yote haya huyu jamaa HAJAKUBALIKA kwenye familia na wala kwa watu walio karibu na familia....kwa kuongeza tuu ni kuwa yule Myemen ambaye simpendi wa homeshopping centre (SALAAH WA GUANGZJOU) anakubalika zaidi kwenye familia

Watu wa kitengo wa Usalama nao hawawezi kumfanya kitu kwa sababu ya hizo connections zake (lakini sina hakika kama huwa anarudi kwao UGANDA) au inawezekana ikawa familia yake ni ya KINYARWANDA , hilo hatulijui lakini ndio hivyo

Watu wake wa karibu wanasema kuwa huyu jamaa ni mtu poa lakini ARROGANT kwa sababu kazungukwa na wajinga wajinga wengi ambao wanamtia ujinga so in essence he's not that smart kwenye kuficha huo mkono wake kwenye madili


Pia wafanyakazi wa wizara ya fedha pia hawampeni kwa sababu safari za kuserikali huwa anaongozana nao kutokana na instructions toka JUU kuwa wakifika Beijing kupiga hayo madili na EXIM BANK lazima LABERT awepo japo shule na elimu yake ndogo.

Mawaziri nao wanamgopa sana kwa sababu ya connection yake na familia ya JK.

Miradi yake mingi ni hiyo ya kuunganisha unganisha ya real estate....na inaendana na hao washauri wake ambao nao pia ni watu wa kunganisha unganisha tuuu

rough estimate ni kuwa huyu Albert ana Net worth $500 million.

Philemeon Michael anamjua sana huyu jamaa.

Huyu jamaa mimi simchukii naomwona kama vile akina Juma Pinto, lakini huyu badala ya blah blah ameunganisha damu...hivyo ukinuliza simchukii bali naona ni mtu aliyepata nafasi na kaitumia vilivyo. Ningepata mimi ningekuwa ni BILIONEA na sio hivyo vijisenti na nisingeandikwa humu JF (hii ni another weakness ya kuwa na washauri wabovu wenye njaa, wasio na influence wala network)

Huyu jamaaa amekuwa kama mbuyu wenzake wanaendela na maisha ya hapa na pale huyu yeye anaongea na rais wa china, na kama u mario bas huyu kafuzu kwa sababu ukiangalia wenzake akina OMARI KIMBAU, IDDI JANGUO, JUMA PINTO, CHALE MUTAWALI, na wengineo yeye huyu aliamua kutumia ile formula ya FREEMAN MBOWE kuoa alipomwoa mtoto wa GAVANA EDWIN MTEI.

Dont hate the playa, hate the game

..........wameshasema!
 
Mkitaka kumjua huyu mtu na kama usalama wa Taifa hili kweli wako serious na wanafanya kazi kwa uadilifu halisi nawapa tip ni hivi waanzie kuchunguza Maisha yake huyu tangu Singida miaka ya 1985 wakati baba yake wa kufikia major General Mwita Marwa alipokuwa mkuu wa Mkoa wa Singida ni tapeli la kutupwa na timu yao ya kina Raymond Shauri.Lakini kama nchi ndio hii unategemea nini.Na hata wasipoamua kufanya kazi yao iko siku za mwizi ni arobaini tu , japo watasema dua la kuku, imefifkia mpaka kina Shyrose ni wabunge wa East Africa! masikini Tanzania nchi yangu, kuna siku ataingia jambazi ikulu
Lini hiyo na nani!? Pole sana
 
HAPANA majina yamefanana tu mkuu, hata sijui sura yake mimi ni mzaliwa na mkazi wa Karatu yeye ni mzaliwa wa Singida

Bora ujitenge na Yule fisadi wa bei rahisi ....mtu gani anahongwa ..air ticket ya mke wake ( refer case yake ya RUSHWA ), dala dala ...na vijisenti .....Ulaya RUSHWA iPo lakini watu wanavuta na no compromise with job...hapa mtu akikupa RUSHWA na kazi yenyewe hafanyi...,Kenya wenzetu RUSHWA Yao ni interms of business interest ....yaani mfano kazi Mtaji ni dola milioni 50 ..kiongozi anakuambia yeye hataki hela Bali ..anakupa kazi na Mtaji asilimia 50 % alafu managawana faida ......sio hapa wanadai pesa ya bure ....
Kiukweli VIONGOZI wetu ni wala RUSHWA halafu hata Hiyo bei Yao hawajuwi .......Kiongozi akaweza kujizuia kuwa cheap corrupt ...inaweza at least kapunguza RUSHWA kwa Kiasi kikubwa .......
Ndio maana watu wenye status Zao Kama Kina Chenge wao wanapewa dola 1 kwenda Juu kwa lobbying ndogo tu ..ambayo wenzake wamepewa milioni 40 tu.
Sasa hivi mtu Kama Chenge umfuate na chini ya Bilioni 2 ...sianakufukuza ofisini kwake ...., Utapiamlo Mkali ni Moja ya chanZo cha ufisadi ....
Hivi Kweli mtu unakuta anakula visenti ili kuagiza sukari ...ambayo Ina cost viwanda Vya ndani ajira Za Moja kwa Moja karibu 10'000
 
Tahadhari kwa Dk Slaa, Lowassa na wasaka urais wengine:
Inaelekea huyu jamaa amekuwa na mtindo wa kuingia familia zenye manufaa ya kiuchumi kwake KUPITIA kwa kuwa bwana wa mabinti zao.

Mabinti wa wataka urais wakae sawa, jamaa ni nouma!

Halafu hizi extended family hizi! Kuna jamaa yangu kashamuwahi binti wa Dk. kama mmchepuko. Kikieleweka tu anamuoa full. Watamkoma mhaya yule!
 
Back
Top Bottom