Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

Jamani mbona kama mnang'ang'aniza tu na familia ya rais iwemo kwenye hii scandal??? Waliomo si mliwasikia kina kilaini na wengine?

Kuhusu Albert marwa ni mtoto wa mkuu wa majeshi wa zamani Mzee Mwita Marwa,alimuona salama kikwete dadake riz wanaezaliwa kwa mama mmoja,mama yao alifariki siku nyingi,ili kumuoa salama na kwa taarifa tu Albert ni muislam siku nyingi alibadili dini kabla ya kumuoa salama,walijuana na salama akiwa tayari muislam tena swala tano tofauti na kina riz,

Mkuu Tanzania haijawahi kuwa na Mkuu wa Majeshi aitwaye Mwita Marwa. Kaaangalie vizuri.
 
mbona hamuulizi profile yake?

Alizaliwa wapi? kasomea wapi? alienda JKT wapi? kazi kafanya wapi? kaoa mara ngapi? ana biashara zipi? makampuni yake ni yepi? pesa alianza kuzipata lini? kwa njia zipi? ana watoto wangapi? anaishi wapi? wazazi wake ni akina nani? ukoo upi? familia ipi? anahusikaje wizara ya fedha? inakuwaje kule china anaigiaje? au connection yake china iko? je anawatunza watoto wake wengine? na anawake wangapi?



lakini swali kubwa zaidi....Je ana security Clarence na hawa jamaa hapa chini?

Mkuu ndio utuwekee hapa tumfahamu vizuri
 
JF Ni kiboko, hakuna fisadi anayekatisha bila kuguswa...

Hii inshu JK hachomoki na pia hatakaa apumue akitoka madarakani. Natamani kumpa nchi Fred Sumaye just kwa ajili ya kisasi...
 
sadam hussein na watoto wake waliuawa lakini kwa upuuzi huu unaoendelea hapa nchini hii adhabu inawastahili hawa jamaa! ulafi wao umevuka mipaka!
 
Hii kitu kama imeanza leo mkuu akiwa madarakani, ajue atazeeka nayo. Itamfuata popote pale atakapojificha. Awamu ya nne wizi mtupu...mabilioni ya Kikwete yalienda wapi? Madawa ya kulevya ndio biashara pendwa ya baadhi ya mabilionea wetu....poaching imefikia sehemu mpaka dunia nzima inaulizia integrity ya wanaotuongoza!!! Halafu unasikia deal kama hii ya Escrow basi ujue ndio imefika kikomo...Hakuna marefu yasiyo na ncha.

Wanajisikiaje wagonjwa wanapokufa kwa kukosa dawa mahospitalini??? Ndio uongozi uliotukuka na zaidi ya Mwalimu Nyerere wa kuibia watanzania????!!!

FaizaFoxy muanze kujiandaa mana kama pesa zilienda Ulaya na Marekani watu wakadhani wamezificha wanapoteza muda...
 
Last edited by a moderator:
Hii habari mbona msemaji wao hapa JF, FaizaFoxy, hajajitokeza kukanusha? Au anajifanya hamjui Albert Marwa! Hivi huyu FaizaFoxy ni nani hasa...ni taasisi, mafia au ni jini? Kwa mbali nayakumbuka yale majini aliyotuonya marehemu Sheikh Yahya Hussein kwamba yatatoa ulinzi!

Faizafoxy ndie hawa ghasia sijui kama Albert hajakula mzigo
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu kama imeanza leo mkuu akiwa madarakani, ajue atazeeka nayo. Itamfuata popote pale atakapojificha. Awamu ya nne wizi mtupu...mabilioni ya Kikwete yalienda wapi? Madawa ya kulevya ndio biashara pendwa ya baadhi ya mabilionea wetu....poaching imefikia sehemu mpaka dunia nzima inaulizia integrity ya wanaotuongoza!!! Halafu unasikia deal kama hii ya Escrow basi ujue ndio imefika kikomo...Hakuna marefu yasiyo na ncha.

Wanajisikiaje wagonjwa wanapokufa kwa kukosa dawa mahospitalini??? Ndio uongozi uliotukuka na zaidi ya Mwalimu Nyerere wa kuibia watanzania????!!!

FaizaFoxy muanze kujiandaa mana kama pesa zilienda Ulaya na Marekani watu wakadhani wamezificha wanapoteza muda...

Hayo yote unayoyasema leo hii unayasikia kwa sababu demokrasia imekithiri.

Yote hayo yalikuwepo toka zamani lakini ulikuwa huyasikii na huwezi kuchukuwa hatua lakini leo unayasikia na unaweza kuchukuwa hatua na unaziona hatua zinazochukuliwa kwa kuwa demokrasia haikuminywa.

Zamani hata kama unayajuwa ilikuwa huna pakuyasemea wala humjuwi ni nani wakuchukuwa hatua, mpaka atangaze Rais au Waziri Mkuu.
 
Duu Ernest Mwita Kiaro ...mwanaye mmoja alikuwa Tambaza kwenye ile fujo kubwa ya Marehemu Puza ..Kina muro ...Vagi na Tambaza ....Sasa mwanaye naye aliongoza vurugu wakawa wanaogopa kumfukuzaa ....kwenda pale ...akasema " Kama chimefanya funnjo Chiende ...Chidief ( CDF ) ni Mimi sio yeye "

Umemzungumzia Puza,umenikumbusha mabomu ya sukari na petroli ha haa!na lile sinia la maandazi lilikuwa likikatiza tu,watu wanapiga teke maandazi mengi yanaruka juu ila hakuna hata moja linatua chini!

Hivi akina Nyamka wameishia wapi?namaanisha ukoo wa Ramadhan Nyamka.
 
Wewe Albert ni mtoto alilelewa tu wala jenerali hakuwa babaake.The dude wanted to Marry my sissy.yaani alitangaza harusi na Sophia mang'enya kanisani na wakati hapo hapo anawachumba kibao .Sasa ndoa na Sophia mang'enya imeishia wapi Jesus .Sophia mtoto wa waziri mang'enya Yule mama .Dah duniani

Huyu Albert ndo yule chakaramu aliyekuwa Tambaza?

Kama ndiye mmekwisha.
 
JF Ni kiboko, hakuna fisadi anayekatisha bila kuguswa...

Hii inshu JK hachomoki na pia hatakaa apumue akitoka madarakani. Natamani kumpa nchi Fred Sumaye just kwa ajili ya kisasi...

Hilo nalo neno!
Tunahitaji kiongozi atakayeheshimu na kuilinda Katiba ya JMT. Asiyejua hilo HATUFAI. Ikulu ni mahali patakatifu!
RIP Mwalimu
 
attachment.php




Huyu SI MTANZANIA wa kulaziwa wala wa wazazi...lakini mtanzania PLASTIC wa kupewa.

inasemekana ni yatima hana baba wala mama ila aliokotwa huko Uganda na mmoja wa wakuu wa majeshi na kuletwa Tanzania

Nadhani alioa kama mara 3 hizi na mabinti aliooa ni watoto wa wakubwa ndio maana watu wanadai ameoa kwa ajili ya line

Shule aliyooenda haijuilikani

JKT haijulikani kama pia alikwenda

Ndio ofisi zake zilikuwa mtaa wa samora pale juu ya SAPNA na zamani nadhani India walikuwa wanatoa viza pale...just opposite SALAMANDA

connection yake ilikuwa ni kufanya biashara ya ulanguzi wa mafuta kwenda Rwanda, Congo na burundi miaka ya 90 na lile dula la duty free la jeshi (jina limentoka).

alikuwa anaingiza mafuta na kudai yanenda cross country tax free kumbe baadae wanayarudisha Dar kuuza kwa bei ya juu zaidi

Ofisi yake alikuwepo Ippy Malecela, Omari Kimbau, MAO Mwaura (sie tulikuwa tunamjua kama MAO Flex), Abdul Msomali (japo marehem alikuwa na pesa zaidi kwa madili yake ya unga kule Zambia na akina marehem AKASHA ) Chale Mtawali (enzi zile chale dada yake alikuwa mkurugenzi Immigration), Kinje na yule KIM KIMBANGAMBAGA (kiboko ya wanawake wa mjini kama kina Dr MWELE MALECELA, MANGE KIMAMBI etc), na watoto wengine wa wakubwa.

Salama sijui kamtoa wapi lakini kwa wanaomjua huyo dada unaambiwa hata haieleweki alimkubali vipi huyu jamaaa

Ndoa yake haikukubalika na Professa kwa sababu ya historia yake ya kuwalaghai watoto wengine wa wakubwa aliokuwa nao. Jamaa alikuwa kama MARIO fulani kwanza kama sikosei alioa GENERAL STWEWART MANGENYA ambaye ana uhusiano wa kifamilia na akina BOMANI (old money)...Kama sijakosea alikuwa anatoka na RITA MLAKI wa enzi hizo alipokuwa na saloon (VASANDRA) pale juu SAMORA.



Huyu inasemekana alisilimu ili kupata ukaribu zaidi na mama salma, na pia ndiye moja ya waanzilishi wa redio mmoja ya kiislam hapa Dar

Connections zake china ndio zinatisha zaidi kwa sababu anatajwa kuhusika kwenye kashfa za UPANUZI WA BANDARI, BOMBA LA GESI LA MTWARA ambazo amekula si chini ya dola milioni 300 peke yake na bila kusahau kashfa zingine kama hii ya escrow

Pamoja na yote haya huyu jamaa HAJAKUBALIKA kwenye familia na wala kwa watu walio karibu na familia....kwa kuongeza tuu ni kuwa yule Myemen ambaye simpendi wa homeshopping centre (SALAAH WA GUANGZJOU) anakubalika zaidi kwenye familia

Watu wa kitengo wa Usalama nao hawawezi kumfanya kitu kwa sababu ya hizo connections zake (lakini sina hakika kama huwa anarudi kwao UGANDA) au inawezekana ikawa familia yake ni ya KINYARWANDA , hilo hatulijui lakini ndio hivyo

Watu wake wa karibu wanasema kuwa huyu jamaa ni mtu poa lakini ARROGANT kwa sababu kazungukwa na wajinga wajinga wengi ambao wanamtia ujinga so in essence he's not that smart kwenye kuficha huo mkono wake kwenye madili


Pia wafanyakazi wa wizara ya fedha pia hawampeni kwa sababu safari za kuserikali huwa anaongozana nao kutokana na instructions toka JUU kuwa wakifika Beijing kupiga hayo madili na EXIM BANK lazima LABERT awepo japo shule na elimu yake ndogo.

Mawaziri nao wanamgopa sana kwa sababu ya connection yake na familia ya JK.

Miradi yake mingi ni hiyo ya kuunganisha unganisha ya real estate....na inaendana na hao washauri wake ambao nao pia ni watu wa kunganisha unganisha tuuu

rough estimate ni kuwa huyu Albert ana Net worth $500 million.

Philemeon Michael anamjua sana huyu jamaa.

Huyu jamaa mimi simchukii naomwona kama vile akina Juma Pinto, lakini huyu badala ya blah blah ameunganisha damu...hivyo ukinuliza simchukii bali naona ni mtu aliyepata nafasi na kaitumia vilivyo. Ningepata mimi ningekuwa ni BILIONEA na sio hivyo vijisenti na nisingeandikwa humu JF (hii ni another weakness ya kuwa na washauri wabovu wenye njaa, wasio na influence wala network)

Huyu jamaaa amekuwa kama mbuyu wenzake wanaendela na maisha ya hapa na pale huyu yeye anaongea na rais wa china, na kama u mario bas huyu kafuzu kwa sababu ukiangalia wenzake akina OMARI KIMBAU, IDDI JANGUO, JUMA PINTO, CHALE MUTAWALI, na wengineo yeye huyu aliamua kutumia ile formula ya FREEMAN MBOWE kuoa alipomwoa mtoto wa GAVANA EDWIN MTEI.

Dont hate the playa, hate the game

Sasa naamini kuwa wewe ni TISS. Haiwezekani ukawa.na habari za ndani za kila mtu. Sasa mafaili private ya wagombea urais mnayatoa lini?
 
Albert Marwa ni mdogo wake Jaji Werema. Alimtumia mdogo wake kuchota fedha za ESCROW
 
Hayo yote unayoyasema leo hii unayasikia kwa sababu demokrasia imekithiri.

Yote hayo yalikuwepo toka zamani lakini ulikuwa huyasikii na huwezi kuchukuwa hatua lakini leo unayasikia na unaweza kuchukuwa hatua na unaziona hatua zinazochukuliwa kwa kuwa demokrasia haikuminywa.

Zamani hata kama unayajuwa ilikuwa huna pakuyasemea wala humjuwi ni nani wakuchukuwa hatua, mpaka atangaze Rais au Waziri Mkuu.

hivi unashindwa kutumia akili kidogo tu kutambua tofauti hiyo inatokana na mifumo tofauti ya kisiasa katika vipindi unavyolinganisha??

compare apples to apples, Mr.
 
Ha ha haa!umenikumbusha lile tukio la pale Regent estate!mama kaja na bastola,mzee akala chocho, kaibukia kwa marehemu sheikh Mansour,ha ha haa!mkuu tuishie hapa bwana,tumhifadhi mzee wetu na mambo yake binafsi.
Dah!jf bhana!

Mzee Mansour kufariki bila mimi kujua nimesikitika sana.

Mzee swala tano yule, heshi kushika tasbihi. Mpaka Mzee Ruksa mwenyewe alikuwa anamjua msikitini Tambaza pale.

Una habari Musa, Said na Hussein wako wapi sasa?
 
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt
 
hivi unashindwa kutumia akili kidogo tu kutambua tofauti hiyo inatokana na mifumo tofauti ya kisiasa katika vipindi unavyolinganisha??

compare apples to apples, Mr.

Hiyo "mifumo tofauti ya kisiasa" unaipanga na kuitolea maamuzi wewe?
 
Mzee Mansour kufariki bila mimi kujua nimesikitika sana.

Mzee swala tano yule, heshi kushika tasbihi. Mpaka Mzee Ruksa mwenyewe alikuwa anamjua msikitini Tambaza pale.

Una habari Musa, Said na Hussein wako wapi sasa?

Kumbe ulikuwa hujui,pole mkuu.
Mara ya mwisho Musa alikuwa nje ya nchi sikumbuki ni wapi,Said alikuwa China nadhani,na Hussein alikwenda Uturuki,halafu among them mmoja alihamia Italia,nadhani kati ya Musa au Hussein.
Wale dada zao akina Mariam na Tatu na yule mdogo wao wa kiume wa mwisho sijui wako wapi kwa sasa.
Nilipoteza info za watu wengi nilipoondoka.
Nimerudi,Upanga imekuwa ya Wahindi tupu,dah!
 
Back
Top Bottom