klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
kuitwa 'mheshimiwa' haimaanishi kuwa na 'heshima' ama kuheshimiwa! wanasiasa sio wote wenye kuheshimika/heshimiwa.
japokuwa siamini kama heshima ni kitu cha bure. wazungu wanasema 'respect is earned'. kitu ambacho nadhani wanasiasa wetu wanasahau, kuwa kwa kuitwa mh na kugawia watoto pipi huwezi kupata heshima. there is no free lunch, heshima inclusive!
Hata mimi nachoka sana fellow tablet.......hebu angaliaEti wanasema "Heshima ni kitu cha bure", mbona sisi walalahoi hatuitwi "waheshimiwa"? au hatustahili "heshima" au "kuheshimiwa" ?
Wanasiasa bana!
Nilikuwepo!
wasalimieni JF Chit Chat
Hata mimi nachoka sana fellow tablet.......hebu angalia
Mheshimiwa Anna Makinda
Mheshimiwa mstaafu Lawrence Masha
Mheshimiwa Januari Makamba
Mheshimiwa mstaafu Rostam Aziz
Mheshimiwa Edward Lowasa
Afu cheki hii
Askofu Mokiwa........si Mheshimiwa
Sheikh Yahya Hussein (RIP)...Si Mheshimiwa
Mchungaji Mama Rwakatare si mheshimiwa kanisani mpaka atinge bungeni
Padre Karugendo.........Si mheshimiwa
Profesa Seng'ondo Mvungi, si mheshimiwa, mpaka atinge bungeni
Mkuu Invisible......si mheshimiwa
Mkuu Klorokwini........hategemewi kuwa mheshimiwa labda aondoke jukwaa la MMU na Chit Chat
Babu Asprin...........Mheshimiwa kwa mkewe tu......... watoto wanamwita baba, wajukuu wananmwita babu
Wanasiasa bana. Mia.Mia.Mia
Eti wanasema "Heshima ni kitu cha bure", mbona sisi walalahoi hatuitwi "waheshimiwa"? au hatustahili "heshima" au "kuheshimiwa" ?
Wanasiasa bana!
Nilikuwepo!
wasalimieni JF Chit Chat
Hata mimi nachoka sana fellow tablet.......hebu angalia
Mheshimiwa Anna Makinda
Mheshimiwa mstaafu Lawrence Masha
Mheshimiwa Januari Makamba
Mheshimiwa mstaafu Rostam Aziz
Mheshimiwa Edward Lowasa
Afu cheki hii
Askofu Mokiwa........si Mheshimiwa
Sheikh Yahya Hussein (RIP)...Si Mheshimiwa
Mchungaji Mama Rwakatare si mheshimiwa kanisani mpaka atinge bungeni
Padre Karugendo.........Si mheshimiwa
Profesa Seng'ondo Mvungi, si mheshimiwa, mpaka atinge bungeni
Mkuu Invisible......si mheshimiwa
Mkuu Klorokwini........hategemewi kuwa mheshimiwa labda aondoke jukwaa la MMU na Chit Chat
Babu Asprin...........Mheshimiwa kwa mkewe tu......... watoto wanamwita baba, wajukuu wananmwita babu
Wanasiasa bana. Mia.Mia.Mia
muktadha huu haukubaliani na kiswahili. ingebidi iwe voluntary kuita mtu mheshimiwa. aisee,
Hata mimi nachoka sana fellow tablet.......hebu angalia
Mheshimiwa Anna Makinda
Mheshimiwa mstaafu Lawrence Masha
Mheshimiwa Januari Makamba
Mheshimiwa mstaafu Rostam Aziz
Mheshimiwa Edward Lowasa
Afu cheki hii
Askofu Mokiwa........si Mheshimiwa
Sheikh Yahya Hussein (RIP)...Si Mheshimiwa
Mchungaji Mama Rwakatare si mheshimiwa kanisani mpaka atinge bungeni
Padre Karugendo.........Si mheshimiwa
Profesa Seng'ondo Mvungi, si mheshimiwa, mpaka atinge bungeni
Mkuu Invisible......si mheshimiwa
Mkuu Klorokwini........hategemewi kuwa mheshimiwa labda aondoke jukwaa la MMU na Chit Chat
Babu Asprin...........Mheshimiwa kwa mkewe tu......... watoto wanamwita baba, wajukuu wananmwita babu
Wanasiasa bana. Mia.Mia.Mia
utamwita muheshimiwa kama anakupa ugali
mf waziri kwa rais
lakini kwetu sisi wajasiria mali huo unafiki hatuna.
hata kama hakuna kosa! kwanini mwizi ikubalike kuitwa mheshimiwa?. halaf kuna wengine wanaitwa waheshimiwa hata kukoga hawakogi! Heshima iko wapi? leo nina hasira kweli hata waifu kakimbia home.Nauliza tu hivi kuna kosa usipotanguliza hilo neno muheshimiwa????
Sipendi kucheza na wewe una mikono michafu.........Babu on the move, habari yako binafsi babu.
wewe ulieksipaya kitambo....
Hahahaha...... Hiyo mambo ya kuiba kura peleka kule jukwaa la mastress wakaidiskasi kwa mapovu........ Hapa tujadili hiyo mokasini, ukitaka uitwe mheshimiwa labda ukaazime ya Mbu. Hivi siku hizi yuko wapi huyu mtu?.........BTW ile tabia yako ya kukaribisha wanachama wapywa wa JF wenye ID ya kike umeshaacha? Kabla bado nakushauri uwakaribishe kwa mkwala kuwa wewe ni MOD na wasipokuita Mheshimiwa utawahamishia fesibuku au Michuzi blogu wakauze sura..........Fellow tablet unajua inauma sanaaa aisee! samtaimu mtu unapitisha jihada zako zote , unaazima suti na mokasi rangi ya udongo, halaf unajifanya kuamkia shkamoo kila unaemkuta ili uitwe muheshimiwa lakini hauitwi. Kuna njemba inaiba kura, inaiba hela za mikataba, haifungi ramazani, haitoi sadaka kanisani na unaiskia inaitwa "mheshimiwa", nazani tuanzishe petition ya kuliomba razi dikshineri la kiswahili, tumelikosea heshima sana.
Leo niko serious kweli! baada ya hii sredi kukamilika lazma mtaskia mawaziri kadhaa wamejiuzulu. stay tuned! fellow tablet
Nitendee heshima kwa kuniita mheshimiwa. Na hiyo kesi si itasikilizwa na mheshimiwa hakimu?.....Hivi Nyerere alikuwa mheshimiwa au Ndugu?Unashtakiwa kwa kosa la kumvunja m2 mbavu. unakiri shtaka?