sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,460
Samahani muheshimiwa klorokwini nna barua yako toka kwa Husninyo, ntafute kwa maelezo zaidi.hehehehe nawafuata watuhumiwa maeneo ya tukio laivu.
Samahani muheshimiwa klorokwini nna barua yako toka kwa Husninyo, ntafute kwa maelezo zaidi.hehehehe nawafuata watuhumiwa maeneo ya tukio laivu.

Khaaa! Umeamua kumdanganya uporoto mbele ya macho yangu? Siamini hakyanani..

Samahani muheshimiwa klorokwini nna barua yako toka kwa Husninyo, ntafute kwa maelezo zaidi.
Daaah! Afadhali apigwe ban bana, we uliona wapi muheshimiwa anavaa suti na raba??...lol..

mheshimiwa kloro amepigwa ban.
Reason: kulazimisha uheshimiwa wakati sheria za jf zinakataza.
Umeonae?..

dah! Body guard mwaka huu usipoongezewa mshahara naandamana hadi washington dc. Khaaa!
nami huku usiseme yaani we acha tu

safi mpenzi, nimekumiss hadi nahisi homa.
wa asilimia 500 %Una uhakika?
hawezi kunidanganya huyu hata uongo haujui ulivyo.Khaaa! Umeamua kumdanganya uporoto mbele ya macho yangu? Siamini hakyanani..
duh! kloro ana riho ngumu hajakata tamaa bado ?Samahani muheshimiwa klorokwini nna barua yako toka kwa Husninyo, ntafute kwa maelezo zaidi.
Hajakata aisee, sijui husni alimuahidi nini bana..duh! kloro ana riho ngumu hajakata tamaa bado ?
Siku utakapolia na kusaga meno usijesema sijakupa tahadhari. Ujue kinga ni bora kuliko tiba..hawezi kunidanganya huyu hata uongo haujui ulivyo.
ahadi hizo naona zilikuwa zamani yaani my spanish lady sina wasiwasi nae.Hajakata aisee, sijui husni alimuahidi nini bana..
Hahaha!... Na kloro nae anasemaga maneno kama yako....lol..ahadi hizo naona zilikuwa zamani yaani my spanish lady sina wasiwasi nae.

ahadi hizo naona zilikuwa zamani yaani my spanish lady sina wasiwasi nae.

Hajakata aisee, sijui husni alimuahidi nini bana..

Habari yako Mheshimiwa Dawa ya Malaria........or sory Klorokwini....or Fansida nimepita tu kusalimu (Hapo kwenye fansida taratibu usinitoe macho)

Naona sredi limeshatekwa na wanaapolo....... Ngoja nimstue fellow tablet kule famasi ............ Waheshimiwa wakubwa nyie.......

babu na weweee!
Tatizo unanchanganya ujue, mi sipendi unavyomchuna muheshimiwa kloro huku mapenzi yote yapo kwa uporoto, naumia ujue, mwache bana anunue hata viatu...

khaaa! Ukiniharibia ndoa ntahamia kwako ujue.