Muheshimiwa Kloro yule baamedi Lucy Tentemente anasema mbona umehama baa baada ya kumchezea/kumpotezea muda ? nilimuuliza kwani kawa mpira achezewe ? hahaha!
Khaaa!
Mheshimiwa klorokwini....
Toba!...
Khaaa! Umeamua kumdanganya uporoto mbele ya macho yangu? Siamini hakyanani..
Dah!......
Lahaula!

safi mpenzi, nimekumiss hadi nahisi homa.
Dr Riwa alishauri tukihisi homa tukapime!
Kulaleki! kamanda analembea mistari kwa kimanga sku hizi! khaaa!
Samahani muheshimiwa klorokwini nna barua yako toka kwa Husninyo, ntafute kwa maelezo zaidi.
Husninyo ni member wa hapa JF?

dah! Body guard mwaka huu usipoongezewa mshahara naandamana hadi washington dc. Khaaa!
heheheeh! sweetlady asifiwe. aaaamen!

mheshimiwa kloro amepigwa ban.
Reason: kulazimisha uheshimiwa wakati sheria za jf zinakataza.
Nimeanzisha uhusiano rasmi na mod mmoja wa kike, uko kwenye list ya honey wangu kupigwa ban chini ya uchochezi wangu. agana na uporoto kabisa
Daaah! Afadhali apigwe ban bana, we uliona wapi muheshimiwa anavaa suti na raba??...lol..
Mama ushaichana CV vibaya sana. khaaaa! umenikonfyuzi na The finest nazani, the finest mpaka majoho ya graduation yeye anavaa club.
nami huku usiseme yaani we acha tu
wa asilimia 500 %
hawezi kunidanganya huyu hata uongo haujui ulivyo.
duh! kloro ana riho ngumu hajakata tamaa bado ?
heheheh kamanda bana, kale kabajaji kako kanakokupatia lunch dereva kapiga simu kamekatika shocks aisee!anasema simu yako haupatikani fanya uwahi maeneo adhawaizi kesho hakuna ugali.
Hajakata aisee, sijui husni alimuahidi nini bana..
Nanyemelea kale kamtaji ka husni ka maandazi, nikikakamata tu natafta viza ya botswana, natimua.
Siku utakapolia na kusaga meno usijesema sijakupa tahadhari. Ujue kinga ni bora kuliko tiba..
Khaaa! mdada unatisha kuliko horror muvi
ahadi hizo naona zilikuwa zamani yaani my spanish lady sina wasiwasi nae.
Usije ukatuanzishia sredi mheshimiwa! MMU wenyewe sku hizi wamefulia!
Hahaha!... Na kloro nae anasemaga maneno kama yako....lol..
khaaaaa!
Habari yako Mheshimiwa Dawa ya Malaria........or sory Klorokwini....or Fansida nimepita tu kusalimu (Hapo kwenye fansida taratibu usinitoe macho)
hehehe Dena Amsi siku yake ya kupokea mshahara lazima utaijua tu. khaaa!

baby ndio maana nakupenda. Njo chumbani nikupe 1kiss......
Sredi yangu ikipelekewa jukwaa la wakubwa utakoma! nakuhamisha mjini.

khaaa! Ukiniharibia ndoa ntahamia kwako ujue.
Sweetlady wenyewe anaishi kwa jirani!

kloro sio mheshimiwa bwana maana anatumia masaburi kufikiria.mia.
dah! hapa CV imechomwa moto kabisa yaani
Tatizo unanchanganya ujue, mi sipendi unavyomchuna muheshimiwa kloro huku mapenzi yote yapo kwa uporoto, naumia ujue, mwache bana anunue hata viatu...
Khaaaaa!
Hahaha! Subiri aje mwenyewe athibitishe kama ni mzima ama laa!...ngoja mi nijivue zangu gamba!..
Hapa kijijini wengine wananiita Newton na wengine wananiita Dalton thiori, Majuzi nimewavumbulia staili ya kupatia watoto pacha kwenye mahusiano.
CONCLUSION:
kwanini mmechakachua sredi tukufu kama hii? nimepokea sim nyingi sana kutoka magazetini kuhusiana na hii sredi.