Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

Muda unaenda hivi sasa ni saa 12 na robo asubuhi misa inaanza saa 8 muhimbili.

Uongozi wa jf hawana ushirikiano kuhusu rambirambi.

Saaa acha tuingie ulingoni ninaomba rambi rambi zote zitume kwa Hornet kwa namba yake hii 0755155782 jina Jacklin Tumain au litasoma jacklin Palangyo.

Tafadhali ukituma kwa wakala au kwa namba yako tunaomba update hapa.

Taabu tozo za miamala ambazo wengine time kula yamini kuwa Mwigulu ataisoma
 
Hili ni wazo zuri lakini pia inaweza kuwa ni fursa kwa wenye nia ovu.....anonymity ndio inayofanya JF iwe yenye kuogofya.......

Nadhani kukiwekwa utaratibu mzuri juu ya hili jambo kila mmoja atanufaika na hili na kujiona wa thamani kuwa mwana JF na kuwavutia wengine kuwa member wa JF......
 
Nakubaliana na hili wazo,uongozi wa jf ufanye kitu ambacho kitaonesha utekelezaji wake
Hiv mnaposemaga uongoz wa jamii forums huwa mna refer kitu gan!? Au wakurugenz na technical stsffs hapo? ( as i assume), Isn't programming (and other admnstrative stuffs) a burden enough hapo JF mpaka mjitie kwenye mambo mengine ambayo ni ya users ambao kwa ma group yao kwa kadiri ya wanavyojuana ndio haswa wanatakiwa kushughulikiana!??
 
Wanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwa la Siasa, halafu majukwa mengine kutembelea mara moja moja.

Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa 2:00 usiku nimeisha pindua gari, hivyo kufika saa 8 usiku, usingizi umakata. Mtu anabaki kuhesabu kelechi na hizi nyumba zetu za kupanga ambazo hazina siling board, na usiku wa manene ulivyo utulivu, unajikuta unayasikia yanayoendelea chumba cha jirani, kuna sauti na sauti, lakini sauti nyingine kiukweli, usingizi ndio unakata kabisa, nikajikuta naingia MMU, ndio usingizi ukakata kabisa baada ya kukuta taarifa ya kifo cha member maarufu number 1 wa jf kule MMU na Celebrity Forum.

Duh..., japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa.

Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, if management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea gari yake!
Hebu tazameni hapa chini

I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wakiwa na mtu wa jf atoe neno.

Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha.

Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na jf wanajali.

Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the unanimity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi , lakini
pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi , then he/she will always be warumi.

Hivyo naomba kutoa wito wa swali kwa sisi wana JF, JF Member are equal, sasa member mwenzetu anapokufa, jee tuanze kuonyesha solidarity kwenye msiba kwa kushiriki na kumuenzi member mwenzetu kama tulivyofanya kwenye msiba wa Regia Mtema?, au tuache tuu hali hii iendelee kwasababu kila mtu na bahati yake na hadhi yake na umaarufu wake?.

Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi !.
Pasco wa jf, anakulilia.
Paskali
Mimi naunga mkono wazo, na R.I.P mrumi mungu Amjalie pepo ya JANATULFIRDOUS. AMEEN
 
Hiv mnaposemaga uongoz wa jamii forum huwa mna refer kitu gan!? Au wakurugenz na technical stsffs hapo??( as i assume) .Isnt programming (and other admnstrative stuffs) a burden enough hapo jf mpaka mjitie kwenye mambo mengine ambayo ni ya users ambao kwa ma group yao kwa kadir ya wanavyojuana ndio haswa wanatakiwa kushughulikiana!??
Mkuu uongozi ndo utupe uelekeo na namna ya ufanyikaji wa hili Jambo,humu wengi tunatumia false names,je ikitokea Mimi naanzisha uhamasishaji wa mchango wa msiba wa member wa jf mtaniamini?

Hapa ndo tunataka uongozi utoe mwongozo mkuu
 
Wazo ni zuri lakini lisiwe ndio sera ya JF
Kwenye initial stage ni rahisi sana kuwa na mfuko husika, lakini kadiri unavyokua mambo yatabadilika na kuhitaji management kamili
Je kutakuwa na viingilio?
Je michango itakuwa kwa wiki au kwa mwezi?
Tutachanga kiasi gani?
Taratibu zitakuwaje?
Ambaye hajawahi kuchanga akifa tutafanyaje?
Mtu akichelewa kuchanga/akipitisha mchango afanyweje?

LET LOVE LEAD!
Kuna ambao watategea kuchanga kwa kudhani wao sio sehemu muhimu ya JF
Kuna ambao hawatachanga kwa Kudhani tu michango itatumika ndivyo sivyo
Marehemu anaweza kukosa support ya wengine kwa kudhani tu kuna mfuko wa michango
Management ya pesa huwa inasumbua sana..badala ya kutuunganisha kwa upendo inaweza kutuletea mgawanyiko mkubwa na tukafarakana sana!

USHAURI WANGU
Kifo ni jambo la dharura.. Kwasasa ni vema tukabaki na utaratibu huu huu wa kupeana taarifa na kutoa michango ya hiari kutokana na kuguswa, kupitia mawasiano yasiyoacha Shaka ya ndugu ama rafiki Ana jamaa wa karibu na kuchukulia kila msiba Kama kesi inayojitegemea!
 
Wanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja.

Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa 2:00 usiku nimeisha pindua gari, hivyo kufika saa 8 usiku, usingizi umakata. Mtu anabaki kuhesabu kelechi na hizi nyumba zetu za kupanga ambazo hazina siling board, na usiku wa manene ulivyo utulivu, unajikuta unayasikia yanayoendelea chumba cha jirani, kuna sauti na sauti, lakini sauti nyingine kiukweli, usingizi ndio unakata kabisa, nikajikuta naingia MMU, ndio usingizi ukakata kabisa baada ya kukuta taarifa ya kifo cha member maarufu number 1 wa jf kule MMU na Celebrity Forum.

Duh..., japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa.

Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, if management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea gari yake!
Hebu tazameni hapa chini

I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wakiwa na mtu wa jf atoe neno.

Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha.

Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na jf wanajali.

Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the unanimity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi , lakini
pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi , then he/she will always be warumi.

Hivyo naomba kutoa wito wa swali kwa sisi wana JF, JF Member are equal, sasa member mwenzetu anapokufa, jee tuanze kuonyesha solidarity kwenye msiba kwa kushiriki na kumuenzi member mwenzetu kama tulivyofanya kwenye msiba wa Regia Mtema?, au tuache tuu hali hii iendelee kwasababu kila mtu na bahati yake na hadhi yake na umaarufu wake?.

Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi !.
Pasco wa jf, anakulilia.
Paskali
Si jambo la kupendeza kwa hakika,
Mgt ya JF hebu tuweni na jambo pindi mambo haya yanapotokea. Na kwa mchango wa Min. 1,000 wakuu mfikirie pia mwanajukwaa yyt anapopoteza matathalani Wazazi, watoto au mwenza. JF hatujashindwa kufanya haya isipokuwa coordination ndo changamoto. RIP warumi

TUAMKE, TUTENDE.
 
Pamoja na mapendekezo mazuri ya mawazo kutoka kwa wadau bado ninaendelea kushauri uongozi wa JF kwamba imefika wakati sasa sisi kama wanaJF tukawa na mfuko wa dharura (Emergence Fund) ambao tutakuwa tunauchangia kwa viwango vitakavyokubaliwa, kisha inapotokea mmoja wa wanaJF ametutoka na Uongozi wa JF ukapokea taarifa rasmi zilizothibitishwa basi kiweze kutolewa kiasi cha fedha kama pole ya rambirambi kwa wafiwa/mfiwa kadri itakavyokubaliwa.

Kazi ya Uongozi wa JF ni ku moderate tu hili jambo likae vizuri. Naamini sisi kama wanachama wa JF hili jambo tutaliunga mkono.
Naona haya kwenye magrupu ya WhatsApp ya watu wanaofahamiana kabisa inavyokuwa ngumu kutekelezeka. Sembuse hapa ambapo hatujuani kabisa?

Mi nadhani liwe jambo la hiari kwa watakoguswa. Namba inatolewa watu wanachanga...

Tatizo naloliona hapa, nikituma hela kwa mchangishaji, mara paap anaona jina la mtumaji ni mimi niliyekuwa natukanana naye jamvini, kumbe ni bosi wake kazini.... Lahaula lakwata! Kumbe bosi yuko JF anamwaga pumba kichizi.
 
Back
Top Bottom