With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

yani binamu usipoangalia
ipo siku utanatana na mtu humu
coz umezidi khaaaa!!

Binamu siwezi kufikia huko bana najichunga wewe
Huwa napiga sala kwanza ndo naanza mambo kama hizo nguvu za shetani ztashinda hapo sina ujanja binamu Passion Lady
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 zimepita siku nyingi toka Birthday yako. Pamoja na kuchelewa huku naamini kuwa salamu za kheri hupokelewa wakati wowote kwa mlengwa na hata kwa Mwenyezi Mungu ambae huwa twamuomba kuweza kutubariki kwa namna zote.

Maisha ni safari ndefu, na I hope siku yako ya kuzaliwa huwa ni moja ya siku ambayo ipo really special kwako na hutumika kutafakari wapi umetoka, wapi ulipo na wapi unatarajia kwenda.

All the above aside... I wish you a wonderful life, na kuwa siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo Neema, Baraka, Kheri na furaha viwe vinaongezeka mara dufu toka kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema.

Happy Birthday My Friend... Na Shukrani kwa wifi sweetlady kutujumuisha kaika kuweza kusheherekea siku kubwa ya kuzaliwa kwa B52.

Pamoja Saana.

Dah akitokeza nitafurahi sana aisee Kiukweli namiss sana Jukwaa la kipindi kile....tulikuwa tunalala saa sita hahahaaaa; Salamu sana kwa Dada yangu kipenzi AshaDii (Miss you so much sister)

I am humbled... Miss em' times too. Umemisiwa pia rafiki... Do take care.
 
Happy bday ....kila la kheri katika safari yako ya hapa duniani....samahani nimechelewa kidogo.....
 
hahahaaa!!pacha kwani we hujui
binamu mtamu?na Erickb52 asijifanye kuhisi
anajua ladha yake!!mi ndukiiiiiiiiiiiiiiiii pacha utasevu sooo hilo!!

kaah!!!!!! Pacha we mbayaaaaaa...... Mi nimekuita uje umchambe huyu binamu yetu halafu we wanigeuzia kibao
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday kaka Erickb52, angalau nimeweza hata kunyanyua mkono ili nikuwish.
Japo nakutakia kheri hii nikiwa kitandani taabani.
sweetlady, fikisha salamu zangu.

Nawapenda sana wenzangu wa ChitChat.
Mungu awabariki mzidi kupendana.
Mie ndo hivo tena.
 
Last edited by a moderator:
My wii long time no see kunani?

Pole sana and get well soon,tunakupenda pia... miss you.

Wifi kipenzi si kusudio langu kupotea hivi, bali ni maumivu yamenilaza kitandani mpenzi.
Sijui siku wala saa ya kupona haya maumivu makali.

Niko macho muda wote, nikiwaangalia jinsi mnavyozidi kuendeleza upendo, nafurahi.
Nikipona nitaungana na ninyi.
Asante Chocs, Nakupenda pia.
 
Hizi sala ninazozipiga ni lazima upone urudi tena jamvini Madame B, utapona usijali dia
 
Last edited by a moderator:
Happy bday ....kila la kheri katika safari yako ya hapa duniani....samahani nimechelewa kidogo.....
Asante sana sister kwa wishes zako!
Mungu atulinde sote
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 zimepita siku nyingi toka Birthday yako. Pamoja na kuchelewa huku naamini kuwa salamu za kheri hupokelewa wakati wowote kwa mlengwa na hata kwa Mwenyezi Mungu ambae huwa twamuomba kuweza kutubariki kwa namna zote.

Maisha ni safari ndefu, na I hope siku yako ya kuzaliwa huwa ni moja ya siku ambayo ipo really special kwako na hutumika kutafakari wapi umetoka, wapi ulipo na wapi unatarajia kwenda.

All the above aside... I wish you a wonderful life, na kuwa siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo Neema, Baraka, Kheri na furaha viwe vinaongezeka mara dufu toka kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema.

Happy Birthday My Friend... Na Shukrani kwa wifi sweetlady kutujumuisha kaika kuweza kusheherekea siku kubwa ya kuzaliwa kwa B52.

Pamoja Saana.

I am humbled... Miss em' times too. Umemisiwa pia rafiki... Do take care.
Asante sana da AshaDii kwa salamu zako zenye baraka.
Namuomba Mungu atulinde daima.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday kaka Erickb52, angalau nimeweza hata kunyanyua mkono ili nikuwish.
Japo nakutakia kheri hii nikiwa kitandani taabani.
sweetlady, fikisha salamu zangu.

Nawapenda sana wenzangu wa ChitChat.
Mungu awabariki mzidi kupendana.
Mie ndo hivo tena.
Dah jamani dada yangu pole sana Madame B
Mungu akutie nguvu upone haraka eeh
Get well soon and thanks for ur wishes.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom