ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
kaah!!!!!! Pacha we mbayaaaaaa...... Mi nimekuita uje umchambe huyu binamu yetu halafu we wanigeuzia kibao
pole sana shostito Madame B na Mungu akuponye hurudi kundini haraka,
kwani umelazwa wapi best?
pacha we maliza mi kusuta sijui
sijaishi uswazi mwenzio,uzunguni kumeniharibu!!
pole sana Madame B, mungu akuponye na akupe afya kama awali
Acha kumzingua mke mwenzio bhana oooh ntakulima taraka ujue shauri yako
...sijaelewa Kipipi!!
Najua unanichokoza tu . . . na mi wala sichokozeki!
Money only impress lazy girls.heheh wakuonewa wivu sasa lol!
Simuoni eti.
Na usirudie tena kumstress mke wanguDah . . . basi bana tufanye imepita hiyo ikirudi pancha.
Ila mumeo kaelewa ndo maana kajiwahi!